Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mhhhh Leno kawa second choice goalkeeper
Arteta will give his fans heart attack
We unashangaa nini! mbona tushaongea sana udhaifu wa Leno kwenye system ya Arteta, we jamaa mpira huwa hujui ajabu na kujifunza hutaki. ahahahahaah

Na kuna taarifa za leno kuuzwa akaja GK mwingine next season.
 
Not next season, next window
 
We unashangaa nini! mbona tushaongea sana udhaifu wa Leno kwenye system ya Arteta, we jamaa mpira huwa hujui ajabu na kujifunza hutaki. ahahahahaah

Na kuna taarifa za leno kuuzwa akaja GK mwingine next season.
I wish you the best kwenye match ya leo
 
Hello gunners!!

Arsenal Team News

Timu ni ileile ilocheza na Norwich City usipokuwa mabadiliko kwenye nafasi mbili.

Viungo Thomas Partey na Smith Rowe wanaanza game.

Uwanja ni Turf Moor na mwamuzi ni Antony Taylor.

4 1 4 1 naona siyo deal poa. Pia mid yote katika ulinzi kasusiwa Partey. Emile na Ode sidhani kama kuna wa kusaidia kulinda.
 
Burnley wanacheza mtindo wao wa mipira ya juu na Arsenal inawabidi kuzuia mipira hiyo na kufanya counter attacks.

Burnley 0 Arsenal 0

Dakika imeenda ni ya 7
 
Arsenal wameruhusiwa kuutawala mchezo na ni wakati wa kutumia chances za kutafuta goli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…