Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahahaha Eti hii nayo ni timu ya mpira wa miguu..?! Hahahaha ni vigezo gani vilitumika kuifanya hii nayo iwe timu ya mpira wa miguu. Mpaka sasa nahisi kuna chichiri ilitolewa kuifanya hii takataka kuwa club ya mpira.
 
Leo ndiyo tunaianza safari ya kurudi kwenye jwedali la nne bora..#COYG.. WANAFAMILIA WENZANGU.
 
Hahahaha Eti hii nayo ni timu ya mpira wa miguu..?! Hahahaha ni vigezo gani vilitumika kuifanya hii nayo iwe timu ya mpira wa miguu. Mpaka sasa nahisi kuna chichiri ilitolewa kuifanya hii takataka kuwa club ya mpira.
Jomba acha kucheka KIFALA ASE...HICHO KIBURI NA DHARAU NI SUALA MUDA TU.
 
Haya sasa tunaianza diet bila kupenda,ila hii team daaaaah..........
 
Hodi ndani ya jukwaa la arsenal.anyway ni mwanachama mpya ambaye huwa napita kama guest browser, ila sasa rasmi
 
Expecting to field the younger players against Brentford, hopes they will be striving to show what they are capable of without big names.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…