Sure mzee, kwenye profile Maddison anazidiwa na ESR kwa last season, hivyo inaonekana kweli Arsenal wanacheza kamari na hiyo pesaMaddison hana ukali huo. Mimi binafsi naona Arsenal tunacheza kamari hapa ya kuwaridhisha mashabiki.
Arsenal ina shida na mtengeneza nafasi Maddison ana takwimu gani za kumfanya awe mtengeneza nafasi wa kumlilia? Na bahati mbaya sana mtengeneza nafasi kwa miaka hii wa kiingereza amekua Arnold, beki wa Liva, na Kane mshambuliaji.
Kwangu mimi huyu siyo mchezaji wa kuuzwa milioni 70 ila hapa ndiyo tunarudi palepale tunaposema "Ben White hana thamani ya milioni 50 ila Brighton wanaamini hiyo ndiyo thamani yake, Lukaku hana thamani ya milioni 150 ila inter wanaamini hiyo ndiyo thamani yake, Grealish hana thamani ya milioni 100 ila Villa wanaamini hiyo ndiyo thamani yake"
Arsenal ikipata winger mwenye speed, finnishing na skills hata za level ya Mahrez niamini mimi pengo la Maddison halitoonekana.
Form yake imedrop in alarming rate sidhani kama ni sahihi kuweka mpunga labda iwe loan ya kununua baadayeHoussem Aouar ni bei chee kuliko, Technical-wise yupo vizuri kuzidi, profile is better than maddison, Arteta kamrecruit toka ni Assistant Man city imekuaje tena...[emoji16]
Mpira wa siku hizi ni ama utoe assisst au ushinde, na kuna qualities za kutazama kujua huyu atatisha ama la kwa kuangalia trend hiyo ndiyo maana Villa walimng'ang'ania Emile.Sure mzee, kwenye profile Maddison anazidiwa na ESR kwa last season, hivyo inaonekana kweli Arsenal wanacheza kamari na hiyo pesa
Ila waingereza wanampenda sababu ni wao pia ni wazi ataongeza depth na productivity acha aje.
Kwangu mimi maddison hanishitui kabisa, namuona wa kawaida tu, tena kwa timu za kawaida.Castr; Maddison na Ndidi ndio engine za Leicester, nina mashaka kama kweli uliwahi kumfuatilia, ukaona role yake kwenye timu
Kama kulikuwa na shida na mtengeneza nafasi za timu kushinda kwanini tuliridhia Ozil10 kuuzwa??Kwangu mimi maddison hanishitui kabisa, namuona wa kawaida tu, tena kwa timu za kawaida.
Ishu ya ozil ishaelezwa sana humu, arsenal haikuwa na ujanja.Kama kulikuwa na shida na mtengeneza nafasi za timu kushinda kwanini tuliridhia Ozil10 kuuzwa??
Pale tulifeli
Tumecheza bila AM paka january alipokuja Martin, huyu ataongeza rotation ni kitu kizuri ila binafsi nilitaka different taste kama Houssem, ni wazi hata kocha Arteta anampenda Aouar.Mpira wa siku hizi ni ama utoe assisst au ushinde, na kuna qualities za kutazama kujua huyu atatisha ama la kwa kuangalia trend hiyo ndiyo maana Villa walimng'ang'ania Emile.
Sasa Maddison akija ataprove nani yupo sahihi
ESR na Lokonga wataevolve positively sana. Naamini hivyo.Tumecheza bila AM paka january alipokuja Martin, huyu ataongeza rotation ni kitu kizuri ila binafsi nilitaka different taste kama Houssem, ni wazi hata kocha Arteta anampenda Aouar.
Madders aje kutusaidia kuImprove Youngsters, ESR,Lokonga,Willock ila Arteta atakuwa kamsaliti Aouar au sio bwana?[emoji16]
Martinelli anaweza.Maoni yangu ni tunahitaji mchezaji kama Alexis Sanchez. Hustler flani ataesaidia kupress, na mbunifu anayeweza hata kupiga chenga amtoke beki na kutoa pasi au kufunga hali ikiwa ngumu. Yaani mchezaji anayejiamini kuchukua sheria mkononi na kudrive team. Kwa zaidi awe anacheza upande wa kushoto mbele ya Tierney. Iwe Pepe kulia na huyu mwamba kushoto. Kati iwe Laca ama Auba ama Martinelli hilo sijali sana. Kwenye 'hole' ndiyo ache The Smith. Nia ni kuwa na wide forwards wawili hatari ili hata tukijifanya tunacheza na false 9, ni kama tuna strikers watatu.
Sasa nani anafaa kwa uchezaji wa namna hii?
Yea. Nilimaanisha mtu wa kucheza na Pepe. Pepe lazima awepo kule kulia. Nadhani Martineli akiruhusiwa kujiexpress kama alikvyokuwa kipindi cha Emery atakuwa hatari sana. Mwenyewe nadhani Martinelli atafaa kwa nafasi hii na ningependekeza yeye. Auba awe central striker akibadilishana na kina Laca.Martinelli anaweza.
Pepe pia anaweza
sure, Lokonga & ESR at 23,24 itakuwa noma, sidhani kama kuna timu inatuzidi Youngsters wakali kwa sasa labda Barca na Ajax wanaweza jaribu kutufuata.ESR na Lokonga wataevolve positively sana. Naamini hivyo.
Aouar sijui nini kimemkumba ila ikatokea wapo yeye na maddison mi nipo tayari kucheza kamari kwa Aouar.
Ukimcheki Lautaro anacheza kama Sanchez for sureMaoni yangu ni tunahitaji mchezaji kama Alexis Sanchez. Hustler flani ataesaidia kupress, na mbunifu anayeweza hata kupiga chenga amtoke beki na kutoa pasi au kufunga hali ikiwa ngumu. Yaani mchezaji anayejiamini kuchukua sheria mkononi na kudrive team. Kwa zaidi awe anacheza upande wa kushoto mbele ya Tierney. Iwe Pepe kulia na huyu mwamba kushoto. Kati iwe Laca ama Auba ama Martinelli hilo sijali sana. Kwenye 'hole' ndiyo ache The Smith. Nia ni kuwa na wide forwards wawili hatari ili hata tukijifanya tunacheza na false 9, ni kama tuna strikers watatu.
Sasa nani anafaa kwa uchezaji wa namna hii?
Lautaro then. Saka aanzie bench aingie Pepe akitoka na vice versa. Ila naona Saka hana amsha amsha na usumbufu kama Pepe.Ukimcheki Lautaro anacheza kama Sanchez for sure
Ila kwenya Wingers hapo mimi nipangie Saka na Pepe tu inatosha.
Saka ilibidi abaki kua beki wa kushoto.Ukimcheki Lautaro anacheza kama Sanchez for sure
Ila kwenya Wingers hapo mimi nipangie Saka na Pepe tu inatosha.
Wakati huo Kane anakimbia Spurs kwa kuwa hawajafuzu UCL kweli london is redMaddison would be open to move to Arsenal, Sky Sports wanareport
Wanafki njooni tena muone ukubwa wa Arsenal, watu wanaacha European football kwa ajili ya Gunners.
Auba
Pepe
Partey
Now, Maddison & Lautaro
Intermilan siku hiz wanaongea na wewe?Haaland kasema hawezi kuja timu iliyoanzishwa mwaka 2003.
Naona mnamtafuta Lukaku na Inter wamesema vinabo kama nyinyi hiyo milioni 100 hawaitaki na Alonso hawamtaki.
Tuchel kasema anamrudisha Giroud au Hazard