John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,039
Yaan Madison atakuwa chizi kuja hii timu haoni wenzake kina locatelli hawataki kabisa kusikia huo upumbavuHaaland kasema hawezi kuja timu iliyoanzishwa mwaka 2003.
Naona mnamtafuta Lukaku na Inter wamesema vinabo kama nyinyi hiyo milioni 100 hawaitaki na Alonso hawamtaki.
Tuchel kasema anamrudisha Giroud au Hazard
Locatelli kakataa kuja Arsenal?Yaan Madison atakuwa chizi kuja hii timu haoni wenzake kina locatelli hawataki kabisa kusikia huo upumbavu
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Unajifanya hujui kuwa kawakataa ....Locatelli kakataa kuja Arsenal?
Mmemkosa Haaland mmesajili mtu anaitwa Kunde.
Ulijua kama mna mchezaji anaitwa baba?Unajifanya hujui kuwa kawakataa ....
Mbona nyie mna watu wakuitwa kina lokonga cjui okonkwo
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Amekataa?Unajifanya hujui kuwa kawakataa ....
Mbona nyie mna watu wakuitwa kina lokonga cjui okonkwo
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Locatelli kakataa lini hiyo?Yaan Madison atakuwa chizi kuja hii timu haoni wenzake kina locatelli hawataki kabisa kusikia huo upumbavu
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mchezaji anapush deal la kwenda juventus Sana apart ya interest kutoka club zingine zilizoonyesha Nia kama nyieLocatelli kakataa lini hiyo?
Locatelli kakataa kuja Arsenal?
Mmemkosa Haaland mmesajili mtu anaitwa Kunde.
Kwani mbona unashindwa kujibu? Kakataa lini?Mchezaji anapush deal la kwenda juventus Sana apart ya interest kutoka club zingine zilizoonyesha Nia kama nyie
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kwani hapo kupush deal la kwenda juve sio kuwakataa nyie na timu nyingine??? Offer zimeletwa za timu nyingine tena nzuri kuliko ya juve lkn mchezaji unaona priority yake ni juve....Hilo sio jibu Tosha???? Basi anawatakaKwani mbona unashindwa kujibu? Kakataa lini?
Maddison hana ukali huo. Mimi binafsi naona Arsenal tunacheza kamari hapa ya kuwaridhisha mashabiki.Maddison ni mtu na nusu, hata mi namkubali.
Mukiipata saini yake kidogo mutaoneka muko serius
Haya sawa.Kwani hapo kupush deal la kwenda juve sio kuwakataa nyie na timu nyingine??? Offer zimeletwa za timu nyingine tena nzuri kuliko ya juve lkn mchezaji unaona priority yake ni juve....Hilo sio jibu Tosha???? Basi anawataka
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mhhhhhh????????????Maddison hana ukali huo. Mimi binafsi naona Arsenal tunacheza kamari hapa ya kuwaridhisha mashabiki.
Arsenal ina shida na mtengeneza nafasi Maddison ana takwimu gani za kumfanya awe mtengeneza nafasi wa kumlilia? Na bahati mbaya sana mtengeneza nafasi kwa miaka hii wa kiingereza amekua Arnold, beki wa Liva, na Kane mshambuliaji.
Kwangu mimi huyu siyo mchezaji wa kuuzwa milioni 70 ila hapa ndiyo tunarudi palepale tunaposema "Ben White hana thamani ya milioni 50 ila Brighton wanaamini hiyo ndiyo thamani yake, Lukaku hana thamani ya milioni 150 ila inter wanaamini hiyo ndiyo thamani yake, Grealish hana thamani ya milioni 100 ila Villa wanaamini hiyo ndiyo thamani yake"
Arsenal ikipata winger mwenye speed, finnishing na skills hata za level ya Mahrez niamini mimi pengo la Maddison halitoonekana.
Na kwa mpira wetu ambao hauna counter ndiyo tutajuta mwanzo mwishoMhhhhhh????????????
I beg to strongly differ with your assertionNa kwa mpira wetu ambao hauna counter ndiyo tutajuta mwanzo mwisho
Ikatokea amekuja tutajioneaI beg to strongly differ with your assertion
Castr; Maddison na Ndidi ndio engine za Leicester, nina mashaka kama kweli uliwahi kumfuatilia, ukaona role yake kwenye timuIkatokea amekuja tutajionea
Baba na hivi canal + bei chee nilikua nafuatilia games hadi ambazo mtu unazidharau. Hizi ndiyo zile unasikia Leicester kafa 3, Wolves kafa 4.Castr; Maddison na Ndidi ndio engine za Leicester, nina mashaka kama kweli uliwahi kumfuatilia, ukaona role yake kwenye timu