Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Canal + tatizo lake ni ya kifaransa na jinsi ya kumpata mtu muaminifu aliyepo Burundi au Kigoma wa kukulipia. IPTV ni gharama kwenye internet na mikoani sijui kama unaweza kupata streaming ya uhakika. Bado DSTV hana option.
 
Hizi za taarifa za KSE kutoa pesa sio changa la macho kweli???
zinaweza kuwa za kweli, ila kwa vile timu zinafahamu kwamba Arsenal is dire need of rebuilding the squad na kwamba lazima anunue, zinatupiga hela ndefu. kwa maana hiyo kuna sababu ya kwenda taratibu, ila bado naamini watanunua na kuna wachezaji >5 wataondoka
 
😂😂😂 Arsenal mna hali mbaya, yaan mpaka mechi za kirafiki bado mnapumulia mashine
 
😂😂😂 Arsenal mna hali mbaya, yaan mpaka mechi za kirafiki bado mnapumulia mashine
Spurs kasuluhu 1 - 1 na timu ya daraja la pili.

PSG kasuluhu 2 - 2 na timu ya daraja la tatu.

Borussia kafungwa 3 - 1 na timu iliyopanda daraja.

Bayern kafungwa 3 - 2 na FC Koln iliyoshika mkia msimu ulioisha.

Italy anachukua kombe leo, kesho matokeo ya Arsenal yamezima stori ya Italy.

Ila macho yote kwa Arsenal. Kwanini? Ni timu kubwa.
 
"okonkwo" Tatizo lilianzia apo
timu kubwa iwe arsenal
 
Arsenal, wamefungwa mechi ya kirafiki ila haimalizi mjadala wa kikosi chao, maana uhaliisia ni kuwa mechi za kirafiki ni kupimana uwezo na kuangalia kikosi, sio mechi za ushindani kabisaa, hilo lipo wazi...tusiwabeze Arsenal, tusubirie ligi ianze.... am Chelsea FAN.
 
Timu kubwa inashindwa usajili
 
Kwahy pale kwa Okonko Mundende ndo mnajifariji mnaona usajili wa kibabe.?
Kitu kama hukijui unauliza.

Unapolazimisha kuonekana unajua haileti picha nzuri.

Okonkwo ni mchezaji wa academy kajiunga pale bado mdogo tu, amepandishwa timu ya wakubwa hata mwezi hana.

Mmemsajili mchezaji gani mbona hautaji?
 
Kitu kama hukijui unauliza.

Unapolazimisha kuonekana unajua haileti picha nzuri.

Okonkwo ni mchezaji wa academy kajiunga pale bado mdogo tu, amepandishwa timu ya wakubwa hata mwezi hana.

Mmemsajili mchezaji gani mbona hautaji?
Chelsea hatujasajili lakini tunajiweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…