La maana kivipi? Mi namuona wa kawaida tu. Na hata hivyo Arsenal haina shida na beki wa kati inahitaji mabeki wa pembeni na kiungo mshambuliaji labda na mshambuliaji mmoja na mmiliki mpya kwingine kote hapavuji sana.
Charles Watt's tweet "Pre-season now well underway for Arsenal. The squad left for Scotland this morning, first game is tomorrow evening.
This week we'll see Auba, Laca, Pepe, some youngsters, two games, one new signing and a new kit".