Lokonga na Nuno tiyari, Ben white naye uhakika ngoja Euro imalizike tuoneTraining ilitakiwa inaanza huku umekamilisha sajili kama tatu. Mpaka sasa hivi hata mmoja bado. mwishoni wata-panic na kuanza kutafuta, hapo ndio watapigwa hela ndefu.
anajitakia, if KSE does not release funds for new players achana nao.Kocha kazeeka hata miaka miwili hajamaliza, ukocha wa mpira nomaView attachment 1846647
not yet confirmed. wakamilishe sasa.Lokonga na Nuno tiyari, Ben white naye uhakika ngoja Euro imalizike tuone
Wameweka Mzigo nasikia £250m this window, hapo ndio tutamuAssess kocha if he is the next klopp au utopolo.anajitakia, if KSE does not release fund for new players achana nao.
huo mzigo unatosha kununua 5 world class players, wakuziba mapengo yote tuliyonayo,sio hao wanaokimbilia kununua wa shilingi 8.Wameweka Mzigo nasikia £250m this window, hapo ndio tutamuAssess kocha if he is the next klopp au utopolo.
Mzee, kumleta Locatelli, Maddison na White ni £150m+huo mzigo unatosha kununua 5 world class players, wakuziba mapengo yote tuliyonayo,sio hao wanaokimbilia kununua wa shilingi 8.
Reports coming out of Belgium claim Albert Sambi Lokonga will undergo his Arsenal today before sealing his transfer next week.Mzee, kumleta Locatelli, Maddison na White ni £150m+
Ngoja tuone sajili zitakuaje kama watakuja au tetesi tu, ila binafsi nahisi kuna major signings mbili au tatu this window
Matakataka aka Uchafu wa London
Welcome to our family Nuno. View attachment 1848488View attachment 1848489
Next Sambi Lokonga na Baller mmoja Taylor-Hart katoka Hale end Academy
Katika hao team B kuna dogo anaonekana ni namba sita, yule ni dirty worker haswa, kila upande unamuona ana pumzi mid nzima anazunguka too bad timu za B wachezaji jezi zao hazina majina ila yule angekua promoted first team ingekua poa sana.Next Sambi Lokonga na Baller mmoja Taylor-Hart katoka Hale end Academy
You are an idiotHapa mmepigwa
Ripoti zinasema Arsenal ikimkosa White inamtaka Nathan Ake.Lokonga na Nuno tiyari, Ben white naye uhakika ngoja Euro imalizike tuone
Pia kuna Omari Hutchinson (17) ana fujo kama zote, hawa madogo wa hale End ni super-talented wakiingia first team haraka kama Saka na Emilison wataturudisha to the glory days.Katika hao team B kuna dogo anaonekana ni namba sita, yule ni dirty worker haswa, kila upande unamuona ana pumzi mid nzima anazunguka too bad timu za B wachezaji jezi zao hazina majina ila yule angekua promoted first team ingekua poa sana.
Mashabiki wamekua hyped na Miguel Aziz na Kiddo. Kiddo kwangu mimi namchukulia kama Yusuf Poulsen anajali sana show off kuliko matokeo.