Mi naona timu za North London zimelogwa.Hapo ndipo tulipofikia kaka
Mimi siungi mkono ujio wa Grealish ArsenalVinginevyo watuletee Grealish
Yuko overrated na overpriced, hatumuwezi...Mimi siungi mkono ujio wa Grealish Arsenal
Acha tu, huyu kifaa anatakiwa pale ASAP...Buendio this Buendia That. French Ceballos to Emirates.
View attachment 1809477
Mbona kam ni tusi alichoandika uliyemquote? Tutatoa pes ndefu lakini hii ni sawa na huduma ya Ceballos.Acha tu, huyu kifaa anatakiwa pale ASAP...
Buendia ameishauzwa Aston Villa kwa Paundi 33m pls add-ons. Sisi bado tunatafuta rejects.Mbona kam ni tusi alichoandika uliyemquote? Tutatoa pes ndefu lakini hii ni sawa na huduma ya Ceballos.
Aouar aliringa msimu uliopita. Kisha kiwngo chake kikawa cha hovyo.
Grealish overpriced na umri umesogea.
Option njema kwetu ilikua Buendia tu.
Mimi namkubali aise , ht kule england kacheza vizuri sn na Bukayo, kwangu ni mchezaji mzuriMimi siungi mkono ujio wa Grealish Arsenal
Hawa ni pound million 8 na wale wachezaji wa bure Kama akina willianKama ata Buendia mnashidwa kumsajili, hilo kombe mtalisikia na kuliona kwenye runinga tu. Nyie kenge mnakera sana, kila siku mnataka kuwa wasindikizaji tu. View attachment 1809460
Ndio imeisha hiyoHata mimi nimeshangaa, ni vipi Buendia aje Villa wakati Grealish yupo ?
Inawezekana anasepa
Mipango tu mibovu kakaMi naona timu za North London zimelogwa.
Jirani Tottenham kaachana na kumuajiri Conte kwakua Conte kasema anataka kuhakikisha wanashinda trophy yoyote 'as soon as possible'
Anyway, labda wanafanya siri na dirisha likifunguliwa ndiyo itakua wazi zaidi.
Nipo na wewe aiseeeMimi namkubali aise , ht kule england kacheza vizuri sn na Bukayo, kwangu ni mchezaji mzuri
unajua Arsenal ukiingalia kwa jicho la tatu unaona tunahitaji wachezaji km yeye washindi, kama itatokea Pepe, Grealish na Saka itakuwa fire
Tatizo pesa, unakuta tunaletewa viungo wa ajabu
Sema "Shkamoo Chelsea, Hongera kwa kuibeba London"
Semeni hivyo haraka kabla hatujawatimua London.View attachment 1809945
Tatizo pesa kwamba Arsenal haina pesa au pesa mmiliki hana pesa?Mimi namkubali aise , ht kule england kacheza vizuri sn na Bukayo, kwangu ni mchezaji mzuri
unajua Arsenal ukiingalia kwa jicho la tatu unaona tunahitaji wachezaji km yeye washindi, kama itatokea Pepe, Grealish na Saka itakuwa fire
Tatizo pesa, unakuta tunaletewa viungo wa ajabu
Bro hampokei interns?Mipango tu mibovu kaka
Mpaka January bro. Na nlisahau, vitu vyako (certificates na cv) unavyo ready hapo unaweza vituma now??Bro hampokei interns?
Yea naweza. Via email au?Mpaka January bro. Na nlisahau, vitu vyako (certificates na cv) unavyo ready hapo unaweza vituma now??