...ddaaaaahhh!,
Mixed emotions,....sijui niangalie game ya Arsenal, au Manure?
Nahisi kama Manure watapigwa kata funua leo...anyway...
Pamoja we stand!
...ddaaaaahhh!,
Mixed emotions,....sijui niangalie game ya Arsenal, au Manure?
Nahisi kama Manure watapigwa kata funua leo...anyway...
Pamoja we stand!
The throw man Delap is playing as usual....Hope AW amefanyia kazi throw za huyu jamaa.....we at home sidhani kama wamemuandalia Taulo lake kwa ajili ya kufutia mpira kabla hajarusha zaidi hata ya Kona......Its very interesting game.....
Mungu ijaalie Arsenal....Mungu ijaalie furaha yangu.....Ameen....
Haina Nouma man....we kakamue kwa uwezo kaka.....Sisi tutaliendeleza jukwaa kama kawa.....Siku zote Shule kwanza kaka...So happy to c u gat priorities....All the best in ur studies bro.....
waweza angalia zote....Technologia inaruhusu kaka....au?????
live stress free join man u....l.o.l
Questt yupo nae. Leo jukwaa nakuachia wewe na quest, jumatano kama kawaida ratiba inaingiliana lol. Kuna kadarasa kameingilia ratiba ya mechi za jumatano sina jinsi lol.
sawa AW.... furahia kadarasa....sisi tupo tu.....
Baada ya kutoka FAB hakuna tena zile chance zilizokuwa zinaonekana mwanzo......Nasri bado hajaweza kuwasilisha mipira mbele....Zaidi ya shoot alilopiga Arshavin hakuna kingine cha maana...jamaa wanacheza Counter koz wote 11 wapo at their half when we posses the ball......AW should c this......