Mitano tena kwa kamanda AtetaDully ndio alikuwa mtani wangu hapa, kwa sasa ameamua kujichimbia kwenye mahandaki huko makambako.
Sina cha kuwatania wana Arse8, zaidi ya kuwapa pole kwa kipindi kigumu mnachopitia kwa sasa.
Endeleeni kumpa muda Arteta atawavusha, alishawapa makombe 2 (FA & Carabao), why not EPL & UEFA?
UnaotaArsenal ilishajifia siku nyingi, timu inawategemea wachezaji wazee wanaochwa bure, makombo ya timu zingine ndio mseme mtaunda timu imara
Msipofanya usajili wa maana msimu ujao mtakuwa mnagombea kubaki EPL
Yeah, Haya ndiyo maneno ya kisoka lazima uoneshe imani na Timu yako hata kama inapitia changamoto gani.Sielewi watu wanaokuja hapa na kuamua ya kwamba hii game kwa Arsenal ni finito. Turudi nyuma kidogo, msimu huu huu huko huko Europa tulianza na matokeo ya kushtua kama haya.
Rennes alitufunga 3:1 tukawa na goli 1 tu la away wakaja Emirates, kilichotokea mnakijua.
Tukakutana na Olympiacos. Msimu uliopita aliyetutoa mashindanoni ni Olympiacos tulimfunga 1:0 kwake akaja kutufunga 2:1 Emirates. Msimu huu ikawa ni kurevenge tukampiga first leg na second leg akatufunga 1:0 tukasonga mbele.
Tukakutana na Slavia. First leg tukatoka 1:1 second leg Slavia akaoga mvua safi ndiyo tumekutana na Villarreal.
Villarreal katufunga 2:1. Ni ukweli tumecheza mpira mbovu, refa alikua miyeyusho, kocha hajafanya management vizuri ila 2:1 siyo matokeo mabaya kama timu itakua serious.
Mimi nasema bado tuna nafasi ya kusonga mbele. Pepe kasema "Tukutane London" Arteta kasema "Bado tumo kwenye hii game" akaulizwa una uhakika mtapindua meza akajibu "WE ARE ARSENAL"
Wiki ijayo siyo mbali.
Acha tu. Kuna siku unapishana na Arteta Kkoo unampiga na parachichi la kichwa na asikufanye kitu kwakua anajua anazingua.Yeah, Haya ndiyo maneno ya kisoka lazima uoneshe imani na Timu yako hata kama inapitia changamoto gani.
I like the football, I like to watch my team, Chelsea when playing.
Tumependa wenyewe wacha tuoge wenyewe.
Sielewi watu wanaokuja hapa na kuamua ya kwamba hii game kwa Arsenal ni finito. Turudi nyuma kidogo, msimu huu huu huko huko Europa tulianza na matokeo ya kushtua kama haya.
Rennes alitufunga 3:1 tukawa na goli 1 tu la away wakaja Emirates, kilichotokea mnakijua.
Tukakutana na Olympiacos. Msimu uliopita aliyetutoa mashindanoni ni Olympiacos tulimfunga 1:0 kwake akaja kutufunga 2:1 Emirates. Msimu huu ikawa ni kurevenge tukampiga first leg na second leg akatufunga 1:0 tukasonga mbele.
Tukakutana na Slavia. First leg tukatoka 1:1 second leg Slavia akaoga mvua safi ndiyo tumekutana na Villarreal.
Villarreal katufunga 2:1. Ni ukweli tumecheza mpira mbovu, refa alikua miyeyusho, kocha hajafanya management vizuri ila 2:1 siyo matokeo mabaya kama timu itakua serious.
Mimi nasema bado tuna nafasi ya kusonga mbele. Pepe kasema "Tukutane London" Arteta kasema "Bado tumo kwenye hii game" akaulizwa una uhakika mtapindua meza akajibu "WE ARE ARSENAL"
Wiki ijayo siyo mbali.
Arteta is here to stay.Mitano tena kwa kamanda Ateta
Alijaribu kumuiga Pep kwa kuchezesha timu bila mshambuliaji dhidi ya VillaReal na kikabuma.Arteta kapigwa biti na keown kuhusu Martinelli leo kamuanzisha
Arsenal bado ni moja ya timu kubwa sita Uingereza.Timu ambayo haina mafanikio yoyote makubwa kwenye soka na bado watu wanaamini ni timu kubwa, ushabiki mzigo wallahi
Sent using Jamii Forums mobile app
Points tatu.
Leo
INASHANGAZA SANA...YULE WENGER (professor of failure) KAKAA MIAKA 21 HANA HATA MAKOMBE YA MAANA HAYAFIKI MATANO..HALAFU TIMU HAIJAWAHI KUCHUKUA KOMBE KUBWA LA UCL(na haina mpango huo), INAKUWAJE TIMU KUBWA???Timu ambayo haina mafanikio yoyote makubwa kwenye soka na bado watu wanaamini ni timu kubwa, ushabiki mzigo wallahi
Sent using Jamii Forums mobile app