Arteta ni kizungumkuti tu niamini mimi.Ukiongelea historia kama muamuzi wa nani awe kocha Arsenal basi hapo inabidi aje Henry. Henry ana historia nzuri kuzidi hao wawili kwa Arsenal. Hoja yako haina mashiko.
Arteta hajavunja ungo? Ndiyo ni kweli. Arsenal ilimtaka Mourinho, akahudhuria mazoezini kisha deal haikufanikiwa, kwa management ya Arsenal inavyotaka kuspend pesa zake ni ngumu kumpata kocha mkubwa ambaye atakua na ustahimilivu wa Wenger.
So Arteta amekua option kwakua yeye anakua na timu iko safarini kufufuka kila mmoja anamhitaji mwenzake. Mawinga wa Citt wote walikua trained na Arteta, yeye ndiyee kamuibua Foden, ndiye amembadilisha Pepe na kumpeleka LW ambapo kapafom vizuri.
Ole amewahi kukuza kiwango cha mchezaji gani?
Ole ameshashusga daraja timu ngapi?
Rais wa Barca, Laporta kasema anamtaka Arteta. Ole amewahi kutakwa na klabu gani?
Arteta amekuza viwango vya makinda na ameachana na deadwoods, Ole kakuza kiwango cha kinda gani? Deadwoods wangapi kaachana nao? Timu iliyovimbiana wachezaji wasio na msaada ni ujanja?
Tuombe uhai.Arteta ni kizungumkuti tu niamini mimi.
Kama tuko hai tutaona, ninani atakae leta maendeleo kwenye timu yake.
Arsenal na Man united matatizo yetu yana fanana, wote tunapigana kurudi kwenye ubora wetu, sasa ngoja tuone nani atakae kuwa wakaanza kuirudisha heshima hiyo.
Mduanzi we, sasa kwa nini unataka Sorkskjaer alete mafanikio kwa haraka?Tuombe uhai.
NB. Arteta kaahidi makubwa kuanzia msimu wa tatu.
Hahaha ole ana muda gani united? Kuhusu mafanikio siyo kwamba mimi nimepanga ni siku anatambulishwa ndiyo alisema hivyo.Mduanzi we, sasa kwa nini unataka Sorkskjaer alete mafanikio kwa haraka?
Hata mimi na mpa kocha wangu misimu mitatu.
Huyu mwamba kabeba makombe mawili Arsenal ila kahidi mambo makubwa baada ya misimu mitatu ijayo kila la heri kocha wetu Arteta.Tuombe uhai.
NB. Arteta kaahidi makubwa kuanzia msimu wa tatu.
[emoji15][emoji856]unafananisha kifo na usingiz
Mfate ukamuambie[emoji15][emoji856]unafananisha kifo na usingiz
Wapate wapi? Satasingizia Korona!!Nyie nao mna wachezaji walio kwenye mechi za kitaifa?