Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
ok,but hicho kipind spursy anatufunga ,tulikuwa na tatizo la ku create chances , hata smith rowe alikuwa bado hajaaminiwa,First leg spurs alitufunga 2 bila.
Alcheza kama olympiacos walivyocheza jana na sisi tulicheza kama jana tulivyocheza.
Back passes, sideway passes na krosi. Eti paste hicho kiwango EPL, humu kwenye uzi watu wanakimbia kwa hicho George amekibatiza jina la kiwango.
Mimi sitarajii Arsenal ifungwe na Spurs ili ninachoandika kiwe sahihi, next games baada ya spurs ni Olympiacos, Westham na Liva. Ili nilichoandika kiwe sahihi majibu yatapatikana hapo katika hizo games nne.
Hua hamuelewi hadi mshuhudie.
dully maslahi kwema ndugu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3590][emoji3590][emoji3590]COYG
elneny anaweza , partey pia,Mchezaji mzuri wa kupokea mpira toka kwa kipa, ni Elneny tu...mwamba anajiamin sana na hana papara..
Umesema vyema.ok,but hicho kipind spursy anatufunga ,tulikuwa na tatizo la ku create chances , hata smith rowe alikuwa bado hajaaminiwa,
unaposema tulivyocheza jana ni sawa na tulivyocheza na spursy, nashindwa kuelewa.....View attachment 1723700
odegard pekee ali create 4 chancesUmesema vyema.
Tatizo la kucreate chances.
Jana tumecreate chances ngapi?
Nimependezwa na mjadala wenu... Sema kinacho nivutia zaidi nyote ni Arsenal Fansodegard pekee ali create 4 chances
Odegaard vs Olympiacos
90% Pass accuracy
1/1 Accurate long passes
4 Chances created
1/4 Shots on target
2/2 Dribbles completed
8/9 Duels won
Hizi chances alizocreate Odegaard uliziona kweli bro au umechukua stats tu?odegard pekee ali create 4 chances
Odegaard vs Olympiacos
90% Pass accuracy
1/1 Accurate long passes
4 Chances created
1/4 Shots on target
2/2 Dribbles completed
8/9 Duels won
kwa hiyo stats si za kweli? nipe zilizo sahihi,Hizi chances alizocreate Odegaard uliziona kweli bro au umechukua stats tu?
Kka hapa, nakupinga jana Tierney na Hector wame create nafas kadhaa, kutokana na krosi zao But Skuona nafasi kutoka kati kati...Umesema vyema.
Tatizo la kucreate chances.
Jana tumecreate chances ngapi?
SawaKka hapa, nakupinga jana Tierney na Hector wame create nafas kadhaa, kutokana na krosi zao But Skuona nafasi kutoka kati kati...
Hivi mchezaji bora wa mwaka wa hii Arse8 anaweza kucheza club yeyote ile hapo epl?Goodmorning kwa Hisani kubwa ya WASHIKA MITUTU WA JIJI LA KITAJIRI LA LONDON ....kuna baadhi ya mashabiki wa klabu fulani hawaruhusiwi ku comment wala ku like watulie hivyo hivyo...hawajashinda mechi ya ULAYA
[emoji871]Kuna muda kipindi cha pili Olympiacos walitaka kuleta jeuri lakini ubora wa mchezaji mmoja mmoja wa Arsenal uliwezesha kuikamata tena mechi na kuwatungua Wagiriki katika ardhi yao .
[emoji871]Ukiacha na kufunga goli kwa Martin Odegaard, jana aliwavuruga sana wagiriki na ule mguu wake wa kushoto. Uwezo wake wa kutafuta na kuipata space ya kupokea mpira na kugeukia safu ya ulinzi ya Olympiacos ilikuwa hatari kila wakati alipokuwa uwanjani na faida kubwa aliyoipata ni nyuma yake kulikuwa na viungo ambao waliweza kumpasia mpira haraka sana ( Xhaka na Partey , kabla ya mghana huyo kutoka hata Ceballos alifanya hiyo kazi )
[emoji871]Kuna kazi kubwa sana ya kuchagua mchezaji bora wa mwaka wa Arsenal uwepo wa Tierney, Saka , Leno na wengine . Yule beki wa Kiscotland anajua anachofanya uwanjani ...kupanda na kushuka, krosi , kujituma ...dakika kadhaa alipata shida upande wake lakini kwa asilimia kubwa alitawala sana upande wake
[emoji871]Kumbe wachezaji kama mvinyo tu . Mathieu Valbuena bado yupo yupo sana. Ubongo wake uwezo wake wa kufikiria haraka sana akiwa na mpira ndio unamrahisishia kazi uwanjani. Aliwapa kitu cha kufikiria Xhaka na Partey kila akipokea mpira nyuma yao
NOTE :
1: Kiwango kile cha jana inabidi wachezaji wa Gunners wakikopi na ku paste kwenye mechi za EPL
From George
kai mvietnum na timo wemaHivi mchezaji bora wa mwaka wa hii Arse8 anaweza kucheza club yeyote ile hapo epl?
Ndio maana tunawapigaga kwa kuchongoa hukuHivi mchezaji bora wa mwaka wa hii Arse8 anaweza kucheza club yeyote ile hapo epl?