We are good than most financially.Arsenal wameripoti kupata hasara ya £ 47.8m kwa mwaka wa fedha, 2019-2020 [@ kayakaynak97]
Uchanganuo wa fedha
Klabu ilitumia kiasi cha £10m kwa ajili ya kumlipa Unai kufukuzwa na kuajiriwa kwa meneja wa sasa Arteta
kukatwa kwa mishahara kwa wachezaji ilipatikana kiasi cha £19m ambacho kiliingizwa kwenye bajeti moja kwa moja
klabu ilipata kiasi cha £60.1m kutokana na mauzo ya wachezaji waliouzwa na kutumia kiasi cha £182.2m kununua wachezaji wapya katika msimu huo wa 2019/2020
maamuzi yote haya yalifanywa na KSE pamoja na mwenye hisa Stan Kroenke
Leo Burnley lazima tumchinjilie mbali, akitufunga atakuwa katiweka pabaya sanaBado saa moja na nusu kupasuka mtu
Ingekua kwenye game mashambulizi unakua unayapitisha kwa Chambers kwakua naturally Chambers ni CB na CB hua hawana speed just nguvu na uwezo wa standing tackles.Lineup sio mbaya ingawaje, sijakiona kiwango cha Chambers siku za karibuni
Iko wazi mzee ila no way ni kukaza mwanzo mwisho.Leo Burnley lazima tumchinjilie mbali, akitufunga atakuwa katiweka pabaya sana
Lineup sio mbaya ingawaje, sijakiona kiwango cha Chambers siku za karibuni
Ingekua kwenye game mashambulizi unakua unayapitisha kwa Chambers kwakua naturally Chambers ni CB na CB hua hawana speed just nguvu na uwezo wa standing tackles.
Hata hivyo simuoni Cedric kwenye sub wala kwenye majeruhi ana shida binafsi?
Calum Chambers anaweza kucheza CB, RB na DF. Amewahi kucheza in reality akiwa Southampton na Arsenal.Wanasema jamaa ame improve in many areas on the field
Mzee hicho nilichoandika haimaanishi ni uchochoro. Hata katika game CB kumpita ni kwa one two, thru balls, na opponent mwenye speed na skills.Wanasema jamaa ame improve in many areas on the field
Calum Chambers anaweza kucheza CB, RB na DF. Amewahi kucheza in reality akiwa Southampton na Arsenal.
Wenger era alicheza sana nafasi hizo tatu CB, RB na DF (CB alicheza na Koscielny, Mertesacker, Gabriel Paulista.)
RB amecheza sana kipindi tukiwa na majeruhi na katika kumbukumbu goli lake la kwanza na la pili aliyafunga akiwa amepangwa RB.
DF alicheza kipindi Santi, Coquelin, Wishere na Ramsey ameumia mara nyingi alikuwa akisimama na Flamini.
cc. Castr
Mzee hicho nilichoandika haimaanishi ni uchochoro. Hata katika game CB kumpita ni kwa one two, thru balls, na opponent mwenye speed na skills.
Samahani boss.Wapi nimemaanisha uchochoro?