Tatizo maneno aliyoongea. Nimeona Aaron anasema Arteta kasema Guendouz asirudi ila Guendouz anaperform vizuri huko aliko na nimehisi ni kwa sababu ya maneno aliyoongea.Si mbaya akirudi maana David Luiz anakaribia kustaafu. Akiwa vizuri hatutakuwa na haja ya kutafuta beki, kazi ibaki kwa wingback na CAM
huyo na saliba na gunduz wana asilimia ndogo sana kurudi, unakumbuka maneno ya saliba? now arsenal inamtsks konsteTatizo maneno aliyoongea. Nimeona Aaron anasema Arteta kasema Guendouz asirudi ila Guendouz anaperform vizuri huko aliko na nimehisi ni kwa sababu ya maneno aliyoongea.
So Arteta anaweza asimrudishe Saliba kutokana na hayo maneno.
Yale maneno ya kipindi kile aliposema alikuwa disappointed kwa kutokucheza na hakuelewa kwa nini hachezi?Tatizo maneno aliyoongea. Nimeona Aaron anasema Arteta kasema Guendouz asirudi ila Guendouz anaperform vizuri huko aliko na nimehisi ni kwa sababu ya maneno aliyoongea.
So Arteta anaweza asimrudishe Saliba kutokana na hayo maneno.
Duuh!! Hii sasa imekuwa nooma kwa machalii Gunduz na Saliba kubaki Emirates!!huyo na saliba na gunduz wana asilimia ndogo sana kurudi, unakumbuka maneno ya saliba? now arsenal inamtsks konste
Duuh!! Hii sasa imekuwa nooma kwa machalii Gunduz na Saliba kubaki Emirates!!huyo na saliba na gunduz wana asilimia ndogo sana kurudi, unakumbuka maneno ya saliba? now arsenal inamtsks konste
Alimdhihaki Arteta kwa kutompa chansi na kumjudge haraka haraka.Yale maneno ya kipindi kile aliposema alikuwa disappointed kwa kutokucheza na hakuelewa kwa nini hachezi?
Hapa nisiemkubali ni Guendo. Saliba sijamuona vya kutosha kusema namuona mzuri ama mbovu. Guendo namuona mzito mzito.Duuh!! Hii sasa imekuwa nooma kwa machalii Gunduz na Saliba kubaki Emirates!!
Mimi nilimuona tu kama kijana anayejiamini na ameona anastahili kucheza mbele ya wanaochaguliwa. Siichukulii kama dhihaka. Mimi mwenyewe huwa naona kama Arteta anakosea mara nyingine kwenye uteuzi wa timu. Labda kosa kubwa la Saliba liwe kusema wakati yeye ni mchezaji ndani ya timu, tofauti na kuongea kama shabiki.Alimdhihaki Arteta kwa kutompa chansi na kumjudge haraka haraka.
Saliba ni mzuri. Kwa hizi mechi alizoperform amewapita mabeki wengi wa ligi ya Uingereza. Now akirudi maana yake tutakua na left footed CB 3, nani atampisha mwenzie?Mimi nilimuona tu kama kijana anayejiamini na ameona anastahili kucheza mbele ya wanaochaguliwa. Siichukulii kama dhihaka. Mimi mwenyewe huwa naona kama Arteta anakosea mara nyingine kwenye uteuzi wa timu. Labda kosa kubwa la Saliba liwe kusema wakati yeye ni mchezaji ndani ya timu, tofauti na kuongea kama shabiki.
Saliba ni right footed nadhani. Yeye anapambania nafasi na HoldingSaliba ni mzuri. Kwa hizi mechi alizoperform amewapita mabeki wengi wa ligi ya Uingereza. Now akirudi maana yake tutakua na left footed CB 3, nani atampisha mwenzie?
Though kama tutaweza keep wote itakua bonge la ishu.
True nilikoseaSaliba ni right footed nadhani. Yeye anapambania nafasi na Holding
Jermaine Penant alisema hivi jana piaInfantino says Arsene Wenger presented a new interpretation of offside law today. Essentially would mean you're onside if any part of your body you can play the ball with is inline with the defender. Data shows would reduce average offsides a game in Prem from 4 to 2.
Kusema hatumtaki kunafanya dau lake lishuke au siyo? Kibiashara tunakosea hapaMatteo Guendouzi hatarajiwi kuichezea Arsenal tena. Chanzo cha Arsenal kimedokeza hilo,Mikel Arteta ameweka wazi kuwa MG siyo sehemu ya mipango yake ya msimu ujao, na Arsenal wanaamini watapata klabu itakayomnunua kwa dau la pauni milioni 25. [@ footyinsider247]
Ni kweli tunakosea Sana!!Kusema hatumtaki kunafanya dau lake lishuke au siyo? Kibiashara tunakosea hapa
Nami ninamkubali sana Saliba ni beki mzuri sana tumombee Arteta amrudishe kundini!!!Saliba ni mzuri. Kwa hizi mechi alizoperform amewapita mabeki wengi wa ligi ya Uingereza. Now akirudi maana yake tutakua na left footed CB 3, nani atampisha mwenzie?
Though kama tutaweza keep wote itakua bonge la ishu.