Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuwaombea dua!!
 
Arsenal imeanza mapema kutaka kukamilisha usajili wa beki wa kulia wa Brighton Albion Tariq lamptey ambaye ada yake imetajwa kuwa in £25m

Hii inaonesha huenda msimu ujao hatutakuwa na hector belerin ambaye klabu ya PSG wanahusishwa naye

Fununu tu hizi. Zingine tulizohusishwa nazo ni za Hakimi.

Cedric hatoshi?
 
Fununu tu hizi. Zingine tulizohusishwa nazo ni za Hakimi.

Cedric hatoshi?
ni fununu ambazo zimepamba moto wiki nzima, jana Fabrizio kathibitisha , hakimi?umeziona wapi? binafs ndio naisikia kwako...japo sidhan kama inter watamuuza,

belle anatakiwa asepe... hivo cedric hawez kubaki peke yake..

the same kwa KT atasajiriwa LB, kila jtano romano huwa anatoa transfer news, ndio imetoka hiyo ya lampatey,

bellerin amekuwa poor ktk kross, defending...Arteta atampiga bei, barca , juve na psg wanamtaka....
 
Umekuwa mamluki siku hizi wewe siyo mwana Arse8 twenzetu tutakutenga kwenye kundi.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
hahahhh siwez kuw mamluki, changamoto tu ...arsenal hii ya arteta naielewa sana...sikos mech , najua ti mu inajengwa, kuelekea mwisho tunaenda kubeba europa ,

kikos kimeshapata rythm, creativity imeshapatikana, auba karud kwenye makali, pepe usimguse,

leo na mwenzako liverpool mpate sare....hutaamini ninapobeba europa, na kutinga top 4
 
Sare? Mi nina roho mbaya nataka chelsea ifungwe.
 
Wajitekenya mwenyewe na kicheka mwenyewe unawezaje matendo hayo yote???
 
Matteo Guendouzi is not expected to play for Arsenal again. A source at Arsenal has told us that Arteta has made it clear Guendouzi is not part of his plans for next season. Arsenal have set a £25m price tag for him and are confident they will find a buyer. [
@footyinsider247
]
 
William Saliba amecheza zaidi ya mechi 8 na hakuna aliyeweza kumchenga kwa kudribble.

Sijui kama atarudi Arsenal tho.
 
William Saliba amecheza zaidi ya mechi 8 na hakuna aliyeweza kumchenga kwa kudribble.

Sijui kama atarudi Arsenal tho.
Si mbaya akirudi maana David Luiz anakaribia kustaafu. Akiwa vizuri hatutakuwa na haja ya kutafuta beki, kazi ibaki kwa wingback na CAM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…