Jana mpira umedunda. Sheffield kamfunga Villa tena huku akiwa na red. Villa akamiliki mpira kwa zaidi ya 70% shots 14 ila chances alizotengeneza zote akakosa.
Now wana points 39 ila wana mchezo mkononi. Leo spurs anaingia uwanjani dhidi ya Fulham ngoja tuone.
Games tatu za mwisho za Arsenal zimeonyesha timu ina spirit ambayo tuliihitaji tangu mwanzo.Kwa arsenal kitu kinachopungua ni wachezaji kutokujituma lkn wakijituma tu kidogo wanaweza fanya maajabu
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Dah mourinho tangu atishiwe kibarua naona kawa mkali.Nina uhakika Fulham itaishangaza Spurs. Wale vijana wa Scott Parker si mchezo aisee!
VILLA KAPIGWA NA SHEFFLIEDTumebakisha games 12 ili msimu uishe muda huu tupo nafasi ya 10 na points 37 walio juu yetu ni Villa na spurs, wana points 39.
Tukishinda game ya Jmosi tutapanda mpaka nafasi ya 8 kisha tutarudi tena nafasi ya 10. Nasema hivyo kwakua Spurs ana game na Fulham na Palace halafu Villa ana game na Sheffield kisha Wolves. Halafu Arsenal tuna game na Burnley kisha Spurs. (Katikati kuna Olympiacos)
Unaona Spurs au Villa wakipoteza game ipi kati ya mbili zifuatazo? Sisi je?
Unaionaje hiyo nafasi ya 10 inavyotung'ang'ania? Mwezi nyuma hesabu zilikua zinaonyesha tunahitaji kushinda games 3 mfululizo ili kuingia top 4 leo hesabu zinaonyesha inatakiwa ushinde games 3 mfululizo huku ukiombea walio juu yako wapoteze.
Ama la tutumie shortcut ya Europa. Ambayo ni ngumu, last season tulipitia shortcut ya FA ila saa hii hatupo FA so nafasi pekee tuliyonayo ya kuhakikisha tunakuwemo kwenye mashindano ya Ulaya ni ushindi wa bandika bandua kwenye ligi au kombe la Europa.
Sema mwenyewe kipi kinawezekana kati ya hivyo viwili?
Niliwaambia wakimbia uzi waendelee kujificha wasirudi angalau baada ya games 6 ila imezidi kua ishu now kimbieni msirudi hadi msimu uishe.
Kazi kwake Arteta.
ARTETA NI KOCHA SAHIHIArteta bado anajifunza, arsenal walikosea sana kumchukua huyo jamaa!
ARTETA NDIYE KOCHA SAHIHI WA KUIFIKISHA ARSENAL SEHEMU SAHIHIArteta bado anajifunza, arsenal walikosea sana kumchukua huyo jamaa!
ndioItakuwa Cedric na huyu kijana RB?
Kwa mujibu wa Goal.com huyu kijana ni matata na Chelsea wanajutia kumpoteza. Wanadhani manager wa England anaanza kumzingatia kumuita timu ya taifa. Kwa hivyo anaweza kuwa ghali tukashindwa kumpata.Transfer expert Fabrizio Romano claims the Gunners have their eyes on Brighton right-back Lamptey as they eye possible replacements for Bellerin.
“For sure, next summer, can happen something big for him," Romano said on the Here We Go Podcast.
“Arsenal are looking at him as possible option at right-back. Keep an eye on Arsenal because they are among the clubs interested in Lamptey.”
Hilo ndilo tatizo linalotukabili kwa sasa!!ugumu upo kwenye kushinda mechi kadhaa mfululizo. hiki kitu kinatugharimu sana. tumepoteza michezo mingi mno pia na kuna uwezekano wa kupoteza michezo mingine mbeleni
Katika gemu hizi 12 tulizobakisha Arsenal wakikaza angalau gemu 8 tushinde na kudroo ama kupoteza kati ya hizo 4 mechi zilizobaki nakuhakikishia tano bora tumo!!Tumebakisha games 12 ili msimu uishe muda huu tupo nafasi ya 10 na points 37 walio juu yetu ni Villa na spurs, wana points 39.
Tukishinda game ya Jmosi tutapanda mpaka nafasi ya 8 kisha tutarudi tena nafasi ya 10. Nasema hivyo kwakua Spurs ana game na Fulham na Palace halafu Villa ana game na Sheffield kisha Wolves. Halafu Arsenal tuna game na Burnley kisha Spurs. (Katikati kuna Olympiacos)
Unaona Spurs au Villa wakipoteza game ipi kati ya mbili zifuatazo? Sisi je?
Unaionaje hiyo nafasi ya 10 inavyotung'ang'ania? Mwezi nyuma hesabu zilikua zinaonyesha tunahitaji kushinda games 3 mfululizo ili kuingia top 4 leo hesabu zinaonyesha inatakiwa ushinde games 3 mfululizo huku ukiombea walio juu yako wapoteze.
Ama la tutumie shortcut ya Europa. Ambayo ni ngumu, last season tulipitia shortcut ya FA ila saa hii hatupo FA so nafasi pekee tuliyonayo ya kuhakikisha tunakuwemo kwenye mashindano ya Ulaya ni ushindi wa bandika bandua kwenye ligi au kombe la Europa.
Sema mwenyewe kipi kinawezekana kati ya hivyo viwili?
Niliwaambia wakimbia uzi waendelee kujificha wasirudi angalau baada ya games 6 ila imezidi kua ishu now kimbieni msirudi hadi msimu uishe.
Kazi kwake Arteta.
Huyu dogo tukimpata itakuwa poa tuombee Belerin aondoke msimu ujao tujenge timu moto ya misimu minane ijao tukimbize mchakamchaka vijeba vya juu!!