Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nikikwambia amounts ninazobet utacheka.

Anyway, hua nakasirika katika games ambazo tunapata chansi ila hazitumiki. Ile siku city katufunga moja sikukasirika as timu ilionyesha jinsi gani inataka ushindi.
Ilikuwa joking..
 
Arteta anasema Willian ameamua kupambana...

 
Mkataba ukiwa unaishia Willian hukua kiwango ghafla. Mfuatilie, tangu akiwa cheltako alikua hivyo.
 
Wakati anajiunga alisaini mkataba wa miaka 3.. kama kuisha ni bado sana.
Kwa wenzetu hii time wanaweza ongezea mtu mkataba au wakamchekecha. Kwani Arteta mkataba unaisha lini? Mbona tayari wanataka kumuongezea mkataba.
 
Pépé leo 'kaupiga mwingi' na moja ya sababu ni kucheza na Cedric ambae mara nyingi ana "overlap" na kumwachia nafasi ya kuingia kwenye box au kupiga shuti.

•Cédric na Pépé leo walipeana jumla ya pasi 31 ukilinganisha na pasi 7 tu walizopeana na Bellerín vs Man City.
 

Kinachomsaidia Bellerin kwa sasa ni kuwa vice captain, ila tukiangalia kiwango kwa sasa hamfikii Cedric hata kidogo.
 
Kinachomsaidia Bellerin kwa sasa ni kuwa vice captain, ila tukiangalia kiwango kwa sasa hamfikii Cedric hata kidogo.
Saaaana na Cedric hata upande wa Tierney anauwasha moto vibaya.

Hata goli la Pepe baada ya Pepe kupata mpira akawa anasogea golini kwa kasi Cedric akawa anatanua kumpa chansi Pepe ya kutoa pasi kulia wakati Bellerin angekaa nyuma kusubiri back pass ili yaendelee masihara ya back pass.
 
Bro umepotea.
 
BARCA WAACHE UJINGA WAO, ARTETA HAENDI POPOTE

Mikel Arteta one of Barca option to become Barca’s manager for Barca presidential candidate Joan Laporta if Koeman leaves Barca
 
Wee jamaa mkishashinda bdo unaonekana wewe siyo shabiki halisi wa Arse8 wewe ni mamluki

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…