Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dah pitia na jukwaa la nafasi za kazi na huko utanikuta pia
 
Unatafuta mchumba au unafurahisha macho baadae uendelee na mengine?
 
Unatafuta mchumba au unafurahisha macho baadae uendelee na mengine?
😃 😃 😃 Boss kule ni hatari. Uzi ulianza simple tukwa ajili ya vijana kufurahisha tu macho ila naona sasa ume evolve kuwa kitu amazing kwa mabaharia maana mwendo wa 'homegrown players' umeongezeka ma super agents wanapeana connections hatari. Ni 'transfer season' kila siku now 😃😃
 
leo ndio nimeutambua ushamba wangu, nipo mjini muda, kuna wakati nilikuwa mtu wa viwanja, lakini sijamtambua hata mmoja katika uzi huo
 
leo ndio nimeutambua ushamba wangu, nipo mjini muda, kuna wakati nilikuwa mtu wa viwanja, lakini sijamtambua hata mmoja katika uzi huo
😃 😃 mimi sioni ushamba wowote hapo boss. bongo ina mambo mengi nahata ukikosa baadhi ya vitu bado hujapitwa.
Ila kwa sasa namfikiria huyu Benfica nitamuadhibu vipi...
 
mimi sioni ushamba wowote hapo boss. bongo ina mambo mengi nahata ukikosa baadhi ya vitu bado hujapitwa.
Ila kwa sasa namfikiria huyu Benfica nitamuadhibu vipi...

Na Mimi nadhani Arteta aelekeze nguvu yake huko, kwa sababu top six inaweza kuwa beyond reach
 
Timu za kushindana na Arsenal Europa ni mbili spurs na Nyumbu,huyu benifica anafungasha virago first leg
 
Naona Arteta alimpumzisha Pepe kwenye hio game ya leeds kwasababu ya mind games. Yule dogo aliyemsababishia red card alikua ashaanza maneno maneno tena. Ila Willian sijui karogwa na nani jmn dah
 
Arsenal tuko kwenye hali mbaya ila Barcelona wako kwenye hali mbaya zaidi

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Sasa hivi Barca akikutana na Asernal, Asernal ndo wakati mzuri wa kulipiza kisasi alivyonyanyaswa miaka ya nyuma Barca akiwa onfire. Ila ndo hvyo hawawezi kutana labda wasubiri hadi msimu ujao.
 
Nyie washika bunduki, najua saizi mko busy na futuhi yenu, Ila pia mkubuke kua Jumapili city tunakuja,
 
Hii timu kwa sasa daah inachechemea kwa sana ila inasonga mbele bila kukata tamaa.
Arsenal pambaneni kama Simba sc kwa bongo!!!
 
kuna changamoto mechi ya leo, Kocha anaweza kupanga kikosi dhaifu, akaweka pembeni key players kwa ajili ya mechi ya Jumapili na Man-City.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…