Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Nakuunga mkono, hakuna kitu mle, angalia mfano Willian yeye pupupupu, kiukweli arsenal ni timu moja ya kipumbavu. Ona sasa imegawa point Sita kwa Aston villa
 
Nakuunga mkono, hakuna kitu mle, angalia mfano Willian yeye pupupupu, kiukweli arsenal ni timu moja ya kipumbavu. Ona sasa imegawa point Sita kwa Aston villa
Hii mechi mmejitahid si mmeona mlivyopunguza idad ya magoli tofaut na mech ya kwanza.
 
ARV nimekutukana bure Arsenal ni mbwa
TENA MWENYE KICHAA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna watu ukiandika hivi wale wanajiita die hard fan wanasema mpira ni entertainment tu ,unapotezaje muda kwenda kibanda umiza unaangalia mpira kumamamae si muda unapotea?bora tuwaachie timu die hard fans ila mjue kuna vipigo katika next 3 matches(vs Leeds City na Leicester)kwa herini bye bye [emoji112]
 
Nimepita niwape pole tu watani. Msijali hata walio chini kwenye msimamo nao ni timu. Mjipange tu!
 

I am sorry, ni Mbwa kweli
 
Nilisema mwanzoni kwamba dean smith ana vitu vingi anamzidi Arteta, unashangaa timu kubwa inangangania cheap coaches
Mabosi wa AV kumwamini nayo ilikuwa jambo jema. Kumbuka msimu uliopita walipenya kwenye tundu la sindano!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…