Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Asenyengo tunacheza vizuri sana, kipindi cha pili lazima tuchomoe kijiti tulichosokomezewa makalioni.
 
Partey kuna wakati uwezo wake wa kufikiri una kuwa zero, so is Bellerin, lacazette no impact
 
Usisahau kuielezea na ile kadi ya kovacic kwenye fa
 
Kama Aston villa tunashindwa kumfunga tuna next 3 matches vs Leeds ,City na Leicester (je tutamfunga nani?au tutajiandaa kurudi nafasi ya 15?)ukianzia game ya Wolves hadi ya Leicester hawa wote walitufunga.
Game inaendelea tusubiri 90 minutes
 
Inatakiwa Villa awagonge msumari mwingine hawa ndezi ili ajihakikishie ushindi bhn hiki kimoja hakitoshi.
 
Arteta useless kabisaa hiki kitoto Smith Rowe hayupo kabisa kiwanjani na ubunifu mbele hakuna analeta willian sijui Dan Ceballos alimkosea nini?
 
Mimi sio muumini kwamba Arteta anaweza kututoa tulipo akatupeleka mbele. Nonononono. Hamna kitu mle mnajipa nude hopes
 
Arsenal kwa sasa itoshe kusema inatosha ,tunaishi kwa historia na kujiita Big 6 ila kiukweli hatuna utofauti na Southampton au Leeds United, hata hilo jina la Big 6 alitakiwa Leicester achukue nafasi yetu Trust me Arsenal ni historia imekuwa hata uefa atoe top 8 ya kufuzu Champions league basi hatutaipata hyo nafasi hii ndio Comment yangu ya mwisho ninapumzika kwenye hili jukwaa kwa muda usiojulikana
Tatizo la Arsenal ni kocha au wachezaji wake mpaka sasa hata humu hakuna anayejua tatizo ni nini na kwangu binafsi Arsenal sio timu kubwa au Big 6 ni kujidangaya kwa upumbavu wa kisenge
Nawaachia timu mashabiki wa Arsenal die hard fan ambao ukweli mnaujua ila kukubaliana na hali halisi hamuwezi
 
bora na ww unajua nn mnafanya
DullyJr njoo ona uku ukwely umesemwa
 
Mkuu umeongea kwa hisia sana. Ebu punguza volume kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…