Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Haina shida tho timu ilipafom wachezaji walijitoa marefa wakaamua matokeo ya mechi. Jmosi ni game na Villa, tujipange.
 
Matt Ryan asipokuwa fit mapema kuna siku tutanza na Gabriel au Chambers katika goli, ni wachezaji wenye uwezo wa kudaka.

Haina shida tho timu ilipafom wachezaji walijitoa marefa wakaamua matokeo ya mechi. Jmosi ni game na Villa, tujipange.
Wachezaji zikitokea hizi controversial wasimamie kauli referee aangalie katika VAR.
 
Matt Ryan asipokuwa fit mapema kuna siku tutanza na Gabriel au Chambers katika goli, ni wachezaji wenye uwezo wa kudaka.


Wachezaji zikitokea hizi controversial wasimamie kauli referee aangalie katika VAR.
Red imeonyeshwa dakika ya 45+2 na hapohapo VAR ikaconfirm ile ni red.
 
Kwa leo niseme 'yaliyopita yabaki huko, tuangalie mbele'. Kesho tujitahidi kumpiga Villa.
COYG
 
So tutamkosa Leno. Kipa atakua Runarrson, kama Ryan atakua sawa huu ni muda wake wa kuprove kiwango.

Betting companies bado hazina imani na Arsenal odds za Arsenal zimekua ni 2+ katika games nyingi. Hata hii game ya kesho Arsenal imegewa odds 2+ na kampuni nyingi ikishinda hii game.

Sofascore wanaonyesha kwa odds za 2.63 kwa Villa na 2.60 za Arsenal hua hizi timu zinashinda mechi nyingi ambazo wamewekewa hizo odss so hii inamaanisha yeyote anaweza kushinda.

Now kwa sisi timu yetuhatuna Leno, amekua akiufanya ukuta wetu kua mgumu mno. Hatuna Tierney, Auba n.k. so hizo odds na kulingana na matokeo yaliyopita na kwa mpira wao inamaanisha wengi wapo confident Arsenal atafungwa hii gemu.

Ila we have something left in our sleeves. Pepe anazidi kua mzuri, Saka is brilliant, Lacazette so hatuendi kinyonge, tunaenda knowing tuna uhakika wa kushinda and am confident we will. Westham katoka kumfunga Villa goli 2 so atakuja kutaka kubounce back but so are we.

Kila mmoja anakuja kulipa kisasi. Ni ishu ya nani anataka zaidi.
 

Nilijipiga ban ya mechi mbili, lakini imenibidi nitoke kwenye ban ili kurekebisha upotoshaji katika hii post ya gspain. I always respect your contributions here, I think it my first time I challenge you. Sio kweli kwamba every straight red goes with a three match suspension, gspain, it depends on the gravity of the offense. Luiz will serve one match suspension, so is Leno. Tupo hapa kuelimishana
 
Luiz atakosa mechi 1 pekee,ila ndugu zangu kesho tutakuwa na kikosi kikali sana but kipa kesho ni nani?
 
Uko sahihi mkuu, si kila red card ina 3 match suspension kama ni dissent red card ni only two matches, including mechi husika.

Nikiri wakati natoa comment yangu, sikujiridhisha kama zilikuwa considered kama dissent fouls ama violent ones.
Asante kwa masahihisho mkuu mysterio
 
Auba awe fit au la mimi naona Pepe aanze. Huyu Odegaard inabidi apate tu game time huku huku kwenye ligi, hatupo FA wala Carabao so haiwezekani kupretend kwamba ataangaliwa katika games less important pa kuangaliwa ni huku huku.
 
WE KENGE, UNABISHANA NA VAR!!! UNABISHANA NA REFA AMBAYE YUKO PALE KWENYE NYASI UWANJANI WAKATI WEWE UKO BUZA!!
AKILI ZA ARSENAL BHANA. MSOME ZILE KANUNI ZA MPIRA. "....akiwa katika nafasi ya kufunga goli umgonge kwa njia yoyote, bahati mbaya au makusudi adhabu haiepukiki"
 
Kwa leo niseme 'yaliyopita yabaki huko, tuangalie mbele'. Kesho tujitahidi kumpiga Villa.
COYG
UNAWEZA KUMPIGA VILLA WEWE, UMEMSAHAU BARKLEY KWENYE ZILE GOLI TATU?..NA LEO YUPO
 
Sidhani kama naweza kukulaumu mkuu, nikitazama ID yako na kisha avatar vinatafakarisha. Yaan ARV uchanganye na bangi, I just feel sorry for you!!
 
Sheria zilifanyiwa marekebisho sheria iliyoanza na msimu 20/21. Enaeleza

"Ikiwa ni mtu wa mwisho na akafanya faulo isiyo ya msingi/uungwana kama kumvuta, kumsukuma, kupiga mkasi (tackling), kumkwatua au kushika mpira kwa makusudi basi itawekwa penati na mhusika atapokea kadi nyekundu."

"Ikiwa mhusika alikuwa akicheza mchezo kiungwana na akikaba kwa nidhamu basi itakuwa penati na kadi ya njano, pia endapo hakuwa na dhumuni basi hali ya mchezo itaongeza kusudio na uwezekano wa penati kutolewa au lah!"

Kwenye kusudio ni mfano Arsenal inaongoza nne na itokee penati nyepesi basi itafinywa, ikiwa ni 2 - 0 na timu pinzani inaonesha uhai zaidi kuliko anayeongoza basi penati itawekwa pasi ya kadi.

Inategemea uzito wa faulo iliyochezwa sio sheria ya zamani ukiwa mtu wa mwisho haijalishi makusudi au bahati mbaya unapokea kadi nyekundu.
 

Hizi ndizo takataka zilizozalishwa awamu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…