Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii issue ya kina mustafi haiwezi kuwaharibia kwenye maswala ya kisoko?
Mustafi image yake sio kubwa naweza kusema impact ni ndogo. Maana Mustafi mikataba mingi ni binafsi (Mercedes-Benz, Nike, Armani na Louis Vuitton).

Katika masoko haina athari,. Sema Mustafi ni moja ya wale wachache watetezi wa haki za binadamu.
 
Apangwe mechi na nyumbu,akiwepo Tierney mzee wa majaro na mwamba Partey shughuli mbona nzito

Kabisaa! Wamfanyie assessment mapema, japokuwa mambo huenda taratibu kuliko tunavyofikiria..

Utakuja kusikia game na nyumbu imefika, Arteta akatuambia dogo hajafanya mazoezi na timu.
 
Scenarios 2.

Ya kwanza Emile anapelekewa mpira ambapo anajikuta yeye na kipa na mabeki wawili waliokua wanakimbilia kwenye box ni kipa tu ndiye alikua anamfuata Emile.

Emile anatoa pasi kwenye boksi ambapo hakukua na mchezaji yeyote wa Arsenal zaidi ya wale mabeki.

Ya pili Saka anapelekewa mpira mabeki watatu wanakimbilia kwenye boksi mmoja anamfuata Saka. Saka anatulia na mpira kisha anapiga mkasi kumtisha beki ambaye anamtegeshea mguu Saka na Saka anaenda chini. Haikua faulo kwakua ilikua offside.

Saa hii utakua umeelewa niliposema outstanding strength ya Emile ni passing.
 
Kwahiyo hata tukishinda leo hatuongozi ligi wala nini?

Sioni wakuizuia Manchester United kuchukua 3 points, Sio Sheffled wala aseno.
 
Kwahiyo hata tukishinda leo hatuongozi ligi wala nini?

Sioni wakuizuia Manchester United kuchukua 3 points, Sio Sheffled wala aseno.
Leo sioni kama mtakosa points tatu. Ndiyo maana nikasema Sheffield akitoka kwenu anaenda kwa City Jmosi.

So anawapa nyinyi points kisha anaenda kuwapa points City.

Arsenal ya sasa inaweza fungwa na yeyote. Lakini Arsenal ya sasa inaweza kumfunga yeyote pia.

Kwahiyo chonga ngenga ila wewe na chelsea mnajijua mbele yetu.
 
Funika kombe mwana haram apite, J/Mos sio mbali, mchawi uhai tu.
 
Nani kamuacha nani?

Halafu Arsenal miyeyusho tulikubaliana This is Family, mwanafamilia mwenzetu kakumbwa na matatizo ya kifamilia na hatuambiwi kwahiyo tuseme ufamilia wetu unaishia kwenye pitch.
kumbe ishu ni mama yake anaumwa, amewashukuru fans kwa kumtia moyo, i hope atakuwepo kwenye kuwaua nyumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…