Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nimekusoma, km target ni kusajili kiungo summer, maana hii loan nilijiuliza kwanini asije Permanent
 
Binafsi nina imani na Buendia kuliko wote waliotajwa. Sijamaanisha Odegaard ni hovyo ila tulimchukua Suarez kwa mkopo na ikawa siyo ishu huyu sijui itakuaje.
Hilo nalo tatizo,huyo tumemfatilia kwa muda lkn now tumeshift
 
Siyo. Alianza mpira akicheza kama LW. Ndiyo maana hata mechi ya juzi alicheza kama LW.
 
Hilo nalo tatizo,huyo tumemfatilia kwa muda lkn now tumeshift
Halafu kuna youngster mmoja wa Barca tumehusishwa naye. Anaitwa Riqui Puig, yaani sikuuona kama huu ni usajili poa kwakua Puig hana game time kabisa, yaani na sasa hivi Barca inavyostruggle ila bado hawezi fightia namba. Arsenal kwa sasa inahitaji matokeo ni sahihi zaidi kumsajili mtu kama Buendia kwakua ana uzoefu huku Emile anazidi kujikuza na kumuepusha na fatique.

Ila ukiwa na Odegaard kisha una Emile you simply have two youngsters wanaotakiwa kujinoa na kujinoa na kujinoa na kujinoa tena.
 
Nitaomba mnisaidie,up to now I still see Smith Rowe as an over-hyped player, sijakiona hicho mnachokiona kwake, bado sana, labda atumie nafasi hiyo kujipasha sanaaaa.
 
sure,it's much better ikifika summer watushushie hii mashine ya ki-Argentina tupate soka la south america pale mbele.
 
sure,it's much better ikifika summer watushushie hii mashine ya ki-Argentina tupate soka la south america pale mbele.
Hii nayo ni hoja japo sijui wenzetu ulaya wanaichukuliaje. Wachezaji wa Amerika ya kusini kutokana na street football zao wanakuwa fighters kweli kweli hususan mataifa kama Argentina na Chile. Brazil inawahusu lakini wao wanalo tatizo la msingi la kushindwa kuji-manage hususan maisha yao off the pitch.

Kama hilo la kuwa ni Mu-Amerika ya kusini lina uzito wowote ule kwa wenzetu basi buendia might be a best option in the summer
 
Nitaomba mnisaidie,up to now I still see Smith Rowe as an over-hyped player, sijakiona hicho mnachokiona kwake, bado sana, labda atumie nafasi hiyo kujipasha sanaaaa.
Juzi tu hapo nimetoka kusoma Emile bado hatoshi, outstanding strength ya Emile ni 'Passing' tu which is weird. Kinachosababisha amekua spark ya ushindi ni ana mentality ya kwenda mbele na kufanya runs ambazo zilikua hazifanywi.

Kwa umri wake muda wa kuexcel bado anao.
 
Mpaka sasa RW ni mmoja, Pepe hapati game time. Douglas Costa Bayern wanamuoffer kwa mkopo ingekua deal poa ila mambo ya wachezaji wageni yanatubana. On a positive tho, Odegaard kutokana na kua left footer na skills alizonazo na yeye anaweza cheza kama RW na kuoffer same damages kwa opponent.
 
Alafu huyu Aouar mutakuja kukumbuka shuka kipindi ambacho wenye pesa washamchukua.

Huyu jamaa nilimuangalia YouTube nikasema akitua aseno anaweza akawa dawa ya tatizo.
Kama ilivyo kua kwetu kwa Fernandez.
 
Acha kunitishia nyau.
Huna jeshi la kunitoa pale nilipo.
Hii ni mpaka mwisho wa show.
 
Timu yangu kwenye usajili inasikitisha ,kuwa nafasi tuliyonayo sasa sio jambo la bahati mbaya ,wakati tunataka tujinasue kwenye tatizo tunaleta mtu ambaye hawezi kutunasua kwenye janga, AM position inahitaji mtu mzoefu na fighter EPL tunaijua wote trust me ukiangalia big teams kwenye AM position na Arsenal kwenye hiyo position ni mbingu na ardhi ,tutaendelea kuumia na kulialia
Usajli wa Defence pekee umelipa ila kwa viungo na washambuliaji ni ujinga ujinga tu Willian, Pepe, Ceballos, now anakuja huyo Odegaard (huyu mechi 5)nampa hatakuwa na maajabu ,mchezaji ambaye unatolewa kwa loans unazurura zurura mara leo mara kule it means hauaminiki na in my opinion huu pia utakuwa ni usajili wa kupoteza muda
 
The team I think Mikel will play today: Expecting to see the same front 4 that started the Newcastle FA Cup game. (Before Martinelli injury) Gabriel-Chambers would be a nice pairing. (Arteta said Chambers training well last 2 weeks)

\
 
Alafu huyu Aouar mutakuja kukumbuka shuka kipindi ambacho wenye pesa washamchukua.

Huyu jamaa nilimuangalia YouTube nikasema akitua aseno anaweza akawa dawa ya tatizo.
Kama ilivyo kua kwetu kwa Fernandez.
Tatizo youtube wanachukua vipande vikali vikali. Kuna msemo upo humu unasema hakuna mchezaji mbaya youtube.

Msimu huu Aouar kaanza hovyo.

Huyu Aouar ishu sidhani kama pesa, ishu ni rais wa timu na yeye kungojea ofa kutoka Madrid, Juve au Barca.
 
Not too fast bro.

Arsenal inamiliki mpira. Au niseme inacheza ikilenga kumiliki mpira. Ikiwa inafanya hivyo akitokea mchezaji mwenye attitude ya kusonga mbele ataonekana assisstor mzuri.

Ndiyo kinachotokea kwa Emile.

Odegaard hizo games tano unazompa naamini atakuacha njia panda ama umuongezee mechi au ukubali kua he is good. Skills zake zinampa uwezo mkubwa wa kuoffer something ndani ya hizo games tano.

Magoli anayotamani kufunga Pepe utamuona huyu atakavyofanya.
 
Kuna mtu alisema hii timu kwa kukopa hamjambo

Unakuta mchezaji wa pound mil 8 bado mnamkopa hahahaha
We na we unaandika kama umepakwa maziwa mkononi.

Bayern inakopa wachezaji mno. Inachukua treble msimu uliopita zaidi ya wachezaji 4 wa first 11 ni mkopo.

Msimu umeisha, amekopa tena wachezaji zaidi ya 3 wale wa kwanza kawarudisha. Miongoni mwa waliokopwa msimu huu ni Douglas Costa, kwa timu yenu mna mchezaji RW kama Costa?

Kingine kukopa ni namna ya kudeal na financial fair play, kama hauelewi ffp ni nini, tafuta mtu akuelezee.
 
Jumanne tunakutana nao kwenye ligi. Unadhani tutarisk watu wote hao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…