OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Unazungumzia timu gani? Chelsea??Mnapokuja huku kutupigia kelele zitizameni na timu zenu.
Hii arsenal ninayoijua mimi?Hadi kufika mwisho wa mwezi February, Tutakua ndani ya Top 4.
#COYG
#COYG
HahahahahahaAcha upuuzi dogo.
Pambana usishuke daraja
😀😀😀😀Unazungumzia timu gani? Chelsea??
#CFC ni matajiri wa London
Ebwana hii chapati imeibuka. Siku hizi imeshazoea vipigo.Unazungumzia timu gani? Chelsea??
#CFC ni matajiri wa London
Vipigo imekuwa sehemu ya maisha yako, hatari sana!!Unazungumzia timu gani? Chelsea??
#CFC ni matajiri wa London
Nenda kwanza jukwaa la Ng'ombe wenzako huko ukawasalimie.. maana wanajua Umefwaliki KWA KIPIGO cha janaHii arsenal ninayoijua mimi?
Chapati??? Chelsea itabaki kuwa timu kubwa London wewe..Ebwana hii chapati imeibuka. Siku hizi imeshazoea vipigo.
Imekua nunda.
Wewe Leicester Leicester unaweza kumfunga?Vipigo imekuwa sehemu ya maisha yako, hatari sana!!
Lampard anafaa kuifunza timu kama arsenal. Chelsea siyo saiz yake..
Salama kaka, naona unarudi kwenye nafasi yako na usajili wako wa Pound mil 200.
Lampard anafaa kuifunza timu kama arsenal. Chelsea siyo saiz yake..
#CFC
Ndio ishakuwa size yake na pound mil 200,mmempa sababu mnamwamini.Lampard anafaa kuifunza timu kama arsenal. Chelsea siyo saiz yake..
#CFC
Timu iliyoanzishwa 2003 inakuaje kubwa? Hata Simba na Yanga zina historia kubwa na makombe mengi kuliko chelseaChapati??? Chelsea itabaki kuwa timu kubwa London wewe..
Piga mbuzi haooo...
#CFC