Mmmmh sawa mkuu!!!Tukiongelea traits na workrate za AM za anavyotakiwa kua kuna wachezaji mi naamini wanaweza kucheza pale kwenye AM wa kwanza ni Pepe halafu mwingine ni Willian.
Ila tukitumia 4 2 3 1 kisha Pepe akakaa kama AM hapo maana yake RW mwenye domination ya mguu wa kushoto tunakosa, sikumbuki kama tuna foward Left footed mwingine zaidi ya Saka na Pepe. So tutalazimisha right footer wawe LW na RW.
Kingine mi niliwahi kusema kua timu yetu inamiliki mpira ila kuscore ndiyo tatizo, na hiyo ni kwavile wachezaji walikua hawaendi mbele, yaani unaona back passes nyingi kuliko forward passes. Mechi ya leo asipocheza Emile angalau tutaona timu sasa hivi ina akili gani.
Unajichanganya, huu sio uzi wa ps kali, mambo ya mpira waachie wenyewe
Hapa nakubaliana wewe kabisa. Tena Pepe anacheza vizuri hiyo nafasi. Kuna mechi fulani niliona Arteta kamchezesha Pepe AM, jamaa alisumbua sana pale mbele siku hiyo na kusema kweli mi niliona alicheza vizuri kuliko akitokea pembeniTukiongelea traits na workrate za AM za anavyotakiwa kua kuna wachezaji mi naamini wanaweza kucheza pale kwenye AM wa kwanza ni Pepe halafu mwingine ni Willian.
Ila tukitumia 4 2 3 1 kisha Pepe akakaa kama AM hapo maana yake RW mwenye domination ya mguu wa kushoto tunakosa, sikumbuki kama tuna foward Left footed mwingine zaidi ya Saka na Pepe. So tutalazimisha right footer wawe LW na RW.
Kingine mi niliwahi kusema kua timu yetu inamiliki mpira ila kuscore ndiyo tatizo, na hiyo ni kwavile wachezaji walikua hawaendi mbele, yaani unaona back passes nyingi kuliko forward passes. Mechi ya leo asipocheza Emile angalau tutaona timu sasa hivi ina akili gani.
I am older than your dadKijana shika adabu wee!
Na midevu yangu yote unani shauri nika comment kwenye uzi wa pisi kali?
I am older than your dad
Hizo 3 za mwisho tukivuka na 6 points nitakubali.Games tano za ligi zinazofuata.
vs Crystal Palace (H)
vs New Castle (H)
vs Southampton (A)
vs Man United (H)
vs Wolves (A)
Hani nyie manyumbu mkiwavaa looserfools mutakuwa mumetisha kinoma, maan tunajua kabisa ninyi hamfiki popote ..pogeni zile mitetea tu halafu baad ya hapo mkae kwa kutulia..Mhhh, hamna lolote.
Kombe la kuku na mchele kilo 5 ndio linichanie msuli wangu?
Njoo kule tarehe 17 kama hajarudi bila meno ya mbele.