Mkuu tuko pointi10 tu nyuma ya Looserfools wanaoongoza ligi. Makuhakikishia tusipochukua ubingwa tunamaliza ndani ya TOP4Arsenal tunashinda mechi 10 mfululizo na Arteta atakua kocha Bora wa mwezi January
Kitoabu kama vile data ipo off.Mbona umeanza kuitaja Man united?
Najua unajua
Mkuu tuko pointi10 tu nyuma ya Looserfools wanaoongoza ligi. Makuhakikishia tusipochukua ubingwa tunamaliza ndani ya TOP4
#COYG
#COYG
Dah nimecheka kama mwehuMkuu tuko pointi10 tu nyuma ya Looserfools wanaoongoza ligi. Makuhakikishia tusipochukua ubingwa tunamaliza ndani ya TOP4
#COYG
#COYG
Haya mambo Kama akili zako hazina akili huwezi kuyaelewa.Maneno yenu haya ya kipuuzi ndio maana mimi huwa nawaombeeni mufungwe tu hata mechi kumi.
Ewe mshabiki mwenzangu wa Arsenal punguza mihemko isiyo ya lazima.Mkuu tuko pointi10 tu nyuma ya Looserfools wanaoongoza ligi. Makuhakikishia tusipochukua ubingwa tunamaliza ndani ya TOP4
#COYG
#COYG
dirisha limefunguliwa soon atakuja #coyg #artetaIN
Sawa gemu tano zinazofuata sasa hujatuambia kati ya hizo gemu tano za nyumbani ni zipi na ugenini!!Games tano za ligi zinazofuata.
vs Crystal Palace
vs Southampton
vs New Castle
vs Man United
vs Wolves
Away games ni southampton na wolves. Zilizobaki ni home.Sawa gemu tano zinazofuata sasa hujatuambia kati ya hizo gemu tano za nyumbani ni zipi na ugenini!!
Ni hayo mkuu!!
Nawakilisha hoja hewani.
Timu ikitulia game zote hizi tunaweza kushinda bila shidaSawa gemu tano zinazofuata sasa hujatuambia kati ya hizo gemu tano za nyumbani ni zipi na ugenini!!
Ni hayo mkuu!!
Nawakilisha hoja hewani.
Wakuu mnaenda kasi sana, take one game at a time. Tukipigwa hapa tunapoteana wote humu. Kushinda mechi tatu kusifanye tukajisahau...Timu ikitulia game zote hizi tunaweza kushinda bila shida
Bila kujali nyumbani au ugenini kwenye hizo mechi tano angalau tunatakiwa kupata alama 10 ili kujiondoa huku tulipo.Sawa gemu tano zinazofuata sasa hujatuambia kati ya hizo gemu tano za nyumbani ni zipi na ugenini!!
Ni hayo mkuu!!
Nawakilisha hoja hewani.
Tatizo lako hauchelewi kukimbia humu.Haya mambo Kama akili zako hazina akili huwezi kuyaelewa.
#COYG
#COYG
Wakuu mnaenda kasi sana, take one game at a time. Tukipigwa hapa tunapoteana wote humu. Kushinda mechi tatu kusifanye tukajisahau...
Tuache na timu yetu. Kapambane na mzigo wako hukoArsenal musha sahau mulipo toka na sasa mumeanza dharau.
Kuna wengine mulikimbia kabisaaa.
Nawaambia hivi, hizo mechi tatu mulizo fululiza kushinda zisiwape kiburi.
Tuliza kipele wewe,subiri uje getoni emirates ushindiliwe za kutoshaTatizo lako hauchelewi kukimbia humu.
Humu namkubali castr yeye sio shabiki sambusa kama wewe na genge lako la kinaa Dully Jr.
Hakuna anayekimbia kijana, ni majukumu ya kiuchumi tu.Kuna wengine hawakimbii bali huja na id zingine.
Mfano AronArsenal, nahisi ndio huyu Castr.