Ukame wa auba utakata muda si mrefu kama tutaendelea kucheza hivi. Nafasi zinatengenezwa nyingi.Ukame wa Auba hauzungumziwi kipindi hichi kwakua timu inafanya vizuri. Ikitokea tunateleza ataanza kuhojiwa kama ilivyokua wiki kadhaa nyuma.
Sikumbuki vizuri ila nafikiri jana kapiga shots 2 on target na off target 2 au 1 hii ni kusema hata mabeki wameanza kutomhofia, joto anaelekezewa Laca, Saka na Emile.
Kwa sasa naamini Emile anaongoza kwa kuchezewa rafu.
So Auba yupo clear kwa sasa. But this means huu ndiyo muda wa kuanza kuscore as mabeki wamejisahau, tunawaface Palace wamepigwa 7 kisha wakapigwa 3 na juzi wameshinda. Watakuja kutaka kuonyesha zile loss ni bahati mbaya.
So kutakua na kutaka kuishambulia Arsenal kwa nguvu which will be better considering beki yao ina makosa yake ya hapa na pale pia ambayo yatakua na faida kwa forwads za Arsenal.
Saka alipotolewa nilifikiri ataingia Pepe, akaingia Willian, nikashangaa kisha nikacheki rekodi na takwimu. Takwimu zinaonyesha katika mechi zote zile tulizosuluhu na kupigwa Willian ndiye mchezaji mwenye work rate kubwa kuliko wote.
Hizi stats ndiyo zilisababisha usikie uongoz ukisema bado una imani na Arteta, katika kila mechi tuliyofungwa na kusuluhu tulikua na winning probability kubwa au sawa kuliko wapinzani (hapa minus liva)
Pia kilichompa namba Willian jana haikua stats pekee, kuna mechi ya FA na New Castle inafuatia. We know how serious Arsenal tends to be with FA so naamini Pepe, Nketiah, Elneny et al tuwatarajie FA.
Ukame wa Auba hauzungumziwi kipindi hichi kwakua timu inafanya vizuri. Ikitokea tunateleza ataanza kuhojiwa kama ilivyokua wiki kadhaa nyuma.
Sikumbuki vizuri ila nafikiri jana kapiga shots 2 on target na off target 2 au 1 hii ni kusema hata mabeki wameanza kutomhofia, joto anaelekezewa Laca, Saka na Emile.
Kwa sasa naamini Emile anaongoza kwa kuchezewa rafu.
So Auba yupo clear kwa sasa. But this means huu ndiyo muda wa kuanza kuscore as mabeki wamejisahau, tunawaface Palace wamepigwa 7 kisha wakapigwa 3 na juzi wameshinda. Watakuja kutaka kuonyesha zile loss ni bahati mbaya.
So kutakua na kutaka kuishambulia Arsenal kwa nguvu which will be better considering beki yao ina makosa yake ya hapa na pale pia ambayo yatakua na faida kwa forwads za Arsenal.
Saka alipotolewa nilifikiri ataingia Pepe, akaingia Willian, nikashangaa kisha nikacheki rekodi na takwimu. Takwimu zinaonyesha katika mechi zote zile tulizosuluhu na kupigwa Willian ndiye mchezaji mwenye work rate kubwa kuliko wote.
Hizi stats ndiyo zilisababisha usikie uongoz ukisema bado una imani na Arteta, katika kila mechi tuliyofungwa na kusuluhu tulikua na winning probability kubwa au sawa kuliko wapinzani (hapa minus liva)
Pia kilichompa namba Willian jana haikua stats pekee, kuna mechi ya FA na New Castle inafuatia. We know how serious Arsenal tends to be with FA so naamini Pepe, Nketiah, Elneny et al tuwatarajie FA.
Atafika mbali sana, pia wapo smith-rowe na martinell.. Hawa watatu mimi nawaamini sana!..Saka atafika mbali huyu dogo ni goal machine.
Tulia wew kuruta, chelsea yako inapgwa tuu [emoji3][emoji3][emoji23]Naona mmeanza kelele tenaa...![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jana kumbe nilikosa vingi...Hili chama hili jana limepiga mpira mkubwa sana ,afu yule bweha anatuita relegation rival jana tumemnyorosha na kakubali show.
#Gunners for life
Wewe unajua tu kula kimasihara!.. Mpira huuwezi!Naona mmeanza kelele tenaa...![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmeanza kuotaa kuhusu ubingwaa kabisaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe unajua tu kula kimasihara!.. Mpira huuwezi!
Nani awee Chelsea wewe...????? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulia wew kuruta, chelsea yako inapgwa tuu [emoji3][emoji3][emoji23]
Nunua kwanza simu acha kutumia kifaa cha mawasilianoHii team mashabiki wake wengi viazi kichwani hamna kitu ...[emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hii team mashabiki wake wengi viazi kichwani hamna kitu ...[emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mbona umeanza kuitaja Man united?Ila siyo ya man u