huo ni wepesi ambao sio Lila mchezaji anakuwa nao. Katika mpira kitu cha kwanza anachofikiria mchezaji na kukifanyia maamuzi mara nyingi ndicho kinakuwa sahihi zaidi kuliko yule anaebadilisha maamuzi lkn huwa inatokea mchezaji anabadilisha maamuzi na bado anakuwa sahihi zaidi. Wachezaji wa namna hiyo ndio tunawaona na kuwasema kuwa wana vipaji vya ajabu mfano wa watu hao ndio akina Messi, Ozil nk. Lkn pia kwa sasa pale Arsenal anaetegemewa kufanya hivyo vitu ni Saka, rejea mechi iliyopita goli la lacazette.Hili goli la Saka. Kwanini Lacazette alivyotoa ile pasi hakugeuka haraka na kuongeza options ndani ya box?
Huu uzito wake ndiyo ulifanya 4 4 2 ya Arteta ionekane janga.
Yaani unamaanisha mchezaji kutokua na utayari wa kucheza 1 2 ni kitu cha kawaida?huo ni wepesi ambao sio Lila mchezaji anakuwa nao. Katika mpira kitu cha kwanza anachofikiria mchezaji na kukifanyia maamuzi mara nyingi ndicho kinakuwa sahihi zaidi kuliko yule anaebadilisha maamuzi lkn huwa inatokea mchezaji anabadilisha maamuzi na bado anakuwa sahihi zaidi. Wachezaji wa namna hiyo ndio tunawaona na kuwasema kuwa wana vipaji vya ajabu mfano wa watu hao ndio akina Messi, Ozil nk. Lkn pia kwa sasa pale Arsenal anaetegemewa kufanya hivyo vitu ni Saka, rejea mechi iliyopita goli la lacazette.
Games tano za ligi zinazofuata.
vs Crystal Palace
vs Southampton
vs New Castle
vs Man United
vs Wolves
Ila siyo ya man uHapo kuna game tatu muna poteza
Saka atafika mbali huyu dogo ni goal machine.huo ni wepesi ambao sio Lila mchezaji anakuwa nao. Katika mpira kitu cha kwanza anachofikiria mchezaji na kukifanyia maamuzi mara nyingi ndicho kinakuwa sahihi zaidi kuliko yule anaebadilisha maamuzi lkn huwa inatokea mchezaji anabadilisha maamuzi na bado anakuwa sahihi zaidi. Wachezaji wa namna hiyo ndio tunawaona na kuwasema kuwa wana vipaji vya ajabu mfano wa watu hao ndio akina Messi, Ozil nk. Lkn pia kwa sasa pale Arsenal anaetegemewa kufanya hivyo vitu ni Saka, rejea mechi iliyopita goli la lacazette.
Teh teh tehNitataka wafungwe ili nikawacheke tu city na spurs nyuzi zao hazina mtu wa kumcheka na kuangalia comments za lawama
Sajilini mashabikiTeh teh teh
Siyo utayari wa kucheza 1 2 bali uwezo wa kubadili mawazo ya kufanya maamuzi kutoka kile kinachooneka kwa macho ya kawaida (uwazi) kuja kile ambacho hakíkuoneka wala watu hawakudhania km kinaweza kutokea. Mfano ni goli la Saka la Jana ambapo Lacazette alipokea pasi kutoka kwa Saka lkn wakati anapokea pasi goli alikuwa amelitega mgongo nusu upande wa kushoto yaani alikuwa amegeuka nusu kushoto ndipo akaweza kupiga pasi ya moja kwa moja kwenda kwa Rowe. Hicho ndicho wengi tulikiona na kulitarajia afanye hivyo kwa kuwa move ya mpira ilijionyesha hivyo.Yaani unamaanisha mchezaji kutokua na utayari wa kucheza 1 2 ni kitu cha kawaida?
No actually sikumaanisha ageuka na mpira nilimaanisha baada ya pasi kwa Emile na yeye angegeuka kulifuata goli fasta.Siyo utayari wa kucheza 1 2 bali uwezo wa kubadili mawazo ya kufanya maamuzi kutoka kile kinachooneka kwa macho ya kawaida (uwazi) kuja kile ambacho hakíkuoneka wala watu hawakudhania km kinaweza kutokea. Mfano ni goli la Saka la Jana ambapo Lacazette alipokea pasi kutoka kwa Saka lkn wakati anapokea pasi goli alikuwa amelitega mgongo nusu upande wa kushoto yaani alikuwa amegeuka nusu kushoto ndipo akaweza kupiga pasi ya moja kwa moja kwenda kwa Rowe. Hicho ndicho wengi tulikiona na kulitarajia afanye hivyo kwa kuwa move ya mpira ilijionyesha hivyo.
Kwahiyo basi kama Lacazette angepokea ule mpira na ku-turn kulia kuligeukia goli hapo angekuwa ametengeza options nyingi za kufunga moja wapo ikiwa ya yeye mwenyewe. Kwahiyo nimekujibu hivyo baada ya wewe kusema kuwa lacazette angeweza kugeuka na ule mpira ya kupasiwa na Saka ili kutengeneza options nyingi zaidi
Kuanzia msimu ujao utaona mashabiki wengi. Ngoja tuweke kwanza heshima msimu huu. Kuna vikombe tayari tunavyo kibindoni, unavijua siyo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Sajilini mashabiki
Audi cupKuanzia msimu ujao utaona mashabiki wengi. Ngoja tuweke kwanza heshima msimu huu. Kuna vikombe tayari tunavyo kibindoni, unavijua siyo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Audi cup
We ndo hua unalalamika kikosi b chenu hakina quality. Hapa unaonyesha unataka vikombe vitatu, viwili kati ya hivyo hicho kikosi b ndiyo kinatakiwa kupambana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa wewe.
Namaanisha Yuropa, Efuei, na hako kakombe ka ligi tulikowapiga wenzenu wale Chelsita.
Saka atafika mbali huyu dogo ni goal machine.
Arsenal jukumu la carabao na kutwaa ligi hatuna. Tuna Europa na FA now do your math sasaKikosi b hakina quality ya kuchukua hivyo vikombe. Vitachukuliwa na kikosi a. Hii ni kwa assumption kuwa hakutakuwa na ingizo jipya dirisha hili. Hii pia inamaanisha kuweka rehani ndoto za kuchukua ubingwa wa ligi ambao kimsingi bila usajili dirisha hili hautawezekana, labda wapinzani nao waendelee kujichanganya.
Squad iliyopo haitoshi kushindania mataji makubwa ila kuna vikombe inatosha kuchukua, na Jose anajua hili. Japo, narudia, ni kwa gharama ya kuwachosha Kane, Son, Hojbjerg na Dier.
Kikosi A ikifikia dakika ya 70 mpaka 90 kinaruhusu goli mbili mpaka tatu.Kikosi b hakina quality ya kuchukua hivyo vikombe. Vitachukuliwa na kikosi a. Hii ni kwa assumption kuwa hakutakuwa na ingizo jipya dirisha hili. Hii pia inamaanisha kuweka rehani ndoto za kuchukua ubingwa wa ligi ambao kimsingi bila usajili dirisha hili hautawezekana, labda wapinzani nao waendelee kujichanganya.
Squad iliyopo haitoshi kushindania mataji makubwa ila kuna vikombe inatosha kuchukua, na Jose anajua hili. Japo, narudia, ni kwa gharama ya kuwachosha Kane, Son, Hojbjerg na Dier.
Basi nilikuelewa tofauti mkuuNo actually sikumaanisha ageuka na mpira nilimaanisha baada ya pasi kwa Emile na yeye angegeuka kulifuata goli fasta.