Kabla mechi haijaanza ilikua top scorer wa Brighton ni Maupay akiwa na magoli 5 na wa Arsenal ni Laca akiwa na magoli 4. Ila wote walilambwa mkeka.
Arteta akaanza kwa kumtoa Martinell na kumuingiza top scorer wake, hakumuangusha, akascore goli la pekee la ushindi. Brighton ikafuatia kwa kumuingiza top scorer wake too bad bahati haikua upande wao.
Auba ajiangalie.