Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Nahisi kuna siku tutaongoza kumi na zitarudishwa......ha ha ha ha ha,nitalia wiki nzima....l.o.l GOD FORBID!!!
Nahisi kuna siku tutaongoza kumi na zitarudishwa......ha ha ha ha ha,nitalia wiki nzima....l.o.l GOD FORBID!!!
Van persie anaenda kupumzika kujiandaa na Barcelona.Ningefurahi zaidi kama tungekuwa na goli 3 manake hatuaminiki .
Hahahahahahah kwa defence yetu inavyokuwa inababaika kama wameingia uwanjani kwa mara ya kwanza tangu wazaliwe hili linawezekana Michelle.
Michelle umeachiwa huru? safi sanaaa nili miss michango yako karibu sana.Nilijua vijana wana dedicate ushindi kwako uko gerezani lool ,kumbe uko nao pamoja.:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
Hahahahahahaaaaa....hakuna mtu anaejikwaa mara mbili kaka.............Yatakua makusudi kabisa hayo............
Ha ha ha MODS wanampango mzuri na mimi kunirudisha leo,nilimiss nyie pia!!
tukishinda leo basi itakuwa imefuta machungu ya kifungo....l.o.l
walitakiwa wakupige warning kwanza nao wame ku-ban direct lol. Kaa mbali na majukwaa ya stress lol (kuna siku bado kidogo nipige ngumi monitor).
Unakumbuka Spurs walitufranya nini ? lol
Huyu Djourou kiboko,Wenger ana haki ya kujivunia.
haha majukwaa ya stress ndo yapi?
walitakiwa wakupige warning kwanza nao wame ku-ban direct lol. Kaa mbali na majukwaa ya stress lol (kuna siku bado kidogo nipige ngumi monitor).
. Kaa mbali na majukwaa ya stress lol (kuna siku bado kidogo nipige ngumi monitor).
AW wa jina wako noma kwa kuuza wachezaji bomba. Ikitokea timu inamtaka kwa kuweka dau nono mezani basi usishangae wa jina wako akamuuza.
Lile jukwaa la siasa ,linatia hasira sana.