Hivi kweli unalinganisha epl na tanzania???
Mchezaji akipewa red card kwenye epl inagharimu hadi mechi zote hatakazomiss.
Hawa wazungu mkibaki 10 tu hata kama unacheza na crystal palace utaomba mpira uishe.
Hizi card nyekundu zinatugharimu sana sana coz hata mbinu za kocha zinabadilika, anachokuwa anawaza ni kudefence sio tena ushindi.