Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Punguza mihemko we jamaa, una uhakika gani gunners walituma ofa kwa Dominick?unakumbuka tulibishana siku hapa unadai Aubameyang hawezi kuongeza mkataba? Haya nambo waachie wenyewe wanayaelewa vizuri.
Endelea kusema ni mihemko tu ila kwa mwenye akili timamu andiko langu atalielewa na linaeleweka
Everton 2-1 Arsenal Half Time
 
Tumechoka kuandika kwa sasa kama una moyo mdogo jiandae kuhama timu na its matter of time jahazi ndio hilo linazama kama nlivyoandika jana ,Arteta yupo hadi sasa Arsenal sababu kina Edu wamepiga madili nae wanaoneana aibu kumamamake Arteta hana uwezo tangia tulivyopigwa na Wolves nilisema hamna kocha ,hata akija creative midfield tatizo litabaki pale pale sababu hana uwezo Will jr
2016 tulisema Leicester City hatakuwa bingwa ila Dalili ya mvua ni mawingu
2020 tunasema Arsenal haitashuka Daraja ila dalili ya mvua ni mawingu
 
Wakuu samahani sana ndio naingia hapa, nasikia mboo inatembea sana maeneo haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…