Ngoja tuone hiyo juma tatu.Mwaka jana tulitolewa na Atletico Madrid hatua kama hii, I was so confident kabla ya kukutana nao.
This time, I take it game by game, maana lile somo la mwaka jana nililielewa.
Kusema kweli naona Arteta siyo mbaya. Hata Emery sikumuona mbaya. Tatizo la timu yetu ni morali ipo chini.Tatizo kocha wetu naye anaishi kwenye fantasy. Muache tu ajikute na yeye ni Pep huku tuna muhesabia siku.
View attachment 1647014
Hahaha hii timu kubwa wewe. Usingefufua wewe uzi angekuja shabiki wa tottenham kuufufua kwa lawamaBadala unipongeze kwa kuufufua huu uzi wenu unakejeli? Acha jeuri wewe arsewowoView attachment 1647018
Yaweza isiwe hivyo. Unajua timu nyingi msimu huu zinastruggle hao wote uliowataja na wenyewe siyo watamu sana usishangae Monchengladbach akakusimamishia kigogo.Baadhi ya potential opponents wa Liverpool ni Barcelona,RB Leipzig na Atletico Madrid.
Ila majeruhi wenu baadhi watakuwa wamerudi.
Sasa tunairudishaje hii morale iliyopotea kwa miaka zaidi ya 10 sasa?Kusema kweli naona Arteta siyo mbaya. Hata Emery sikumuona mbaya. Tatizo la timu yetu ni morali ipo chini.
Kocha wetu amefanya wachezaji wawe marafiki zake amegoma kuitwa bosi na wachezaji wanamuita Mr au jina lake.
Harry Redknapp sijui aliifanyaje Tottenham aliipandisha morali kwa nguvu mno. Wachezaji wa timu yetu waliofungwa nne bila Europa ndiyo walitugea FA mbele ya Chelsea hao hao.
Naamini morali ndiyo shida. Shida haijawahi kua kocha
Hivi ni kwanini timu nyingi Sana sio kubwa wala ndogo zina struggle sio kwenye ligi wala michuano ya nje?Yaweza isiwe hivyo. Unajua timu nyingi msimu huu zinastruggle hao wote uliowataja na wenyewe siyo watamu sana usishangae Monchengladbach akakusimamishia kigogo.
Morali huletwa na kocha, ushindi au sajili mpya. Hiyo miaka 10 tulikua regulars wa uefa huku hatuna sajili mpya na priority ilikua uwanja. Tulikua na kocha na ushindi pale inapobidi.Sasa tunairudishaje hii morale iliyopotea kwa miaka zaidi ya 10 sasa?
Ni kipindi kirefu kimepita hatuhesabiwi kama title contender.
Hivi ile morali tuliyokuwa nayo miaka ile ya kina Pires,Reyes,Henry,Ljumberg ilipotelea wapi? Au tulirogwa?
Corona? Inawezekana ila siyo kwa timu zote. Mfano kuna timu zina wachezaji walewale mf Juve, Madrid, PSG, Leipzig lakini wanachezea vichapo.Hivi ni kwanini timu nyingi Sana sio kubwa wala ndogo zina struggle sio kwenye ligi wala michuano ya nje?
Yaani timu ambayo naona kidogo Ime settle na haijakumbwa na hii kadhia ni Bayern tu
Ni kwanini? Au Corona??
Hehehe sipo kwa kupenda sina kazi ya kufanya. Hawa wenzangu wote wana kazi so katika kikao nikateuliwa kulinda uziIla mkuu nakupongeza kuendelea kutetea na kushabikia chama lako Arsewowo, mashabiki wenzako hapa asilimia 90 wameingia msituni kujificha.
Conte hapana si unaona Italy pamemshinda na hata nyinyi mlimtimua?Ni kweli unachosema, nini sasa kifanyike morale ya wachezaji ipande juu?
Mchukueni kocha Antony Conte
Yaani huwa nikikumbuka miaka ile ambayo tulikuwa hata hatufanyi sajili za gharama na bado timu yetu ilikuwa ni tishio kwenye michuano tunayoshiriki, halafu nikilinganisha na kipindi hiki ambacho tunatumia pesa nyingi lakini bado timu yetu inafanya utopolo tu huwa naumia kweli...Morali huletwa na kocha, ushindi au sajili mpya. Hiyo miaka 10 tulikua regulars wa uefa huku hatuna sajili mpya na priority ilikua uwanja. Tulikua na kocha na ushindi pale inapobidi.
Wenger ameondoka. Emery akashindwa kupata points katika games nne za mwisho ili kwenda uefa. Kipigo cha nne bila europa. Usajili ni Pepe ambaye anacheza kama hajawahi kumuona Robben. (Nakumbuka nilisema bora aje Ziyech kabla hata Chelsea ban haijaisha)
Obviously timu lazima iwe low on morale.
Ljungberg hakua na philosophy nzuri. Arteta alianza poa. CAM ni tatizo? Yea na ndiyo nasema January transfer window itabidi litumike kututibu.
Bora ungesema Pochetino na sio ConteNi kweli unachosema, nini sasa kifanyike morale ya wachezaji ipande juu?
Mchukueni kocha Antony Conte
Pochetino kuja Arsenal ni ngumu. Si unajua utani wa jadi na SpursBora ungesema Pochetino na sio Conte
Nikiona usajili wa January nitaweza ongea maoni yangu juu ya nafasi yetu. Kurudi Arteta alisema mpaka baada ya miaka 3Yaani huwa nikikumbuka miaka ile ambayo tulikuwa hata hatufanyi sajili za gharama na bado timu yetu ilikuwa ni tishio kwenye michuano tunayoshiriki, halafu nikilinganisha na kipindi hiki ambacho tunatumia pesa nyingi lakini bado timu yetu inafanya utopolo tu huwa naumia kweli...
Kwa miaka takribani saba kisingizio chetu cha kutochukua ubingwa ilikuwa ni deni la uwanja, lakini hilo la uwanja limeisha ila bado mambo ni Yale yale tu.
Tumejitahidi kubadilisha walimu ila tumeshindwa kurejesha kile tulichokipoteza miaka 10 iliyopita, binafsi yangu kwa mara ya mwisho kuiona Arsenal yenye uwezo wa kucheza na timu yoyote na ukategemea matokeo bila wasi wasi ni ile iliyomtoa AC Millan pale San siro.
Hivi unafahamu timu nyingi siku hizi zikicheza na Arsenal zinakuwa na confidence sana kuliko hata pale zinapocheza na timu kama City au Liverpool haijalishi hata kama timu hizi zina majeruhi kibao.
Nawaza tu hapa ni lini tutarudi na sisi
Haaahaaaaa pole sana....najaribu kuwaza cjui Marcel bielsa anafundisha timu IPI kati ya arsenal n spurs ( ulizokuwa unataka starting eleven zao)Acha kupoteza brain cells kwa huyu dogo, Yuko hapa kwa ajili ya kubisha na sio kuelewa.
Yaani pamoja na kumwekea mfano wa hai wa Marcelo Bielsa hapo bado anakwambia huo sio utaratibu kwa uingereza. Mtu Kama huyu kuendelea ku-exchange words na yeye ni kupoteza brain cells
Kuna mahali niliona huyu pepe hakuwa hata chaguo LA emery....yeye alimtaka wilfred zaha....akashangaa kapewa comredi kipepeMorali huletwa na kocha, ushindi au sajili mpya. Hiyo miaka 10 tulikua regulars wa uefa huku hatuna sajili mpya na priority ilikua uwanja. Tulikua na kocha na ushindi pale inapobidi.
Wenger ameondoka. Emery akashindwa kupata points katika games nne za mwisho ili kwenda uefa. Kipigo cha nne bila europa. Usajili ni Pepe ambaye anacheza kama hajawahi kumuona Robben. (Nakumbuka nilisema bora aje Ziyech kabla hata Chelsea ban haijaisha)
Obviously timu lazima iwe low on morale.
Ljungberg hakua na philosophy nzuri. Arteta alianza poa. CAM ni tatizo? Yea na ndiyo nasema January transfer window itabidi litumike kututibu.
Wewe unanipa pole???Haaahaaaaa pole sana....najaribu kuwaza cjui Marcel bielsa anafundisha timu IPI kati ya arsenal n spurs ( ulizokuwa unataka starting eleven zao)
Anaweza mbona, nakumbuka Morinho miaka ya nyuma aliwahi kusema timu ndogo Kama Spurs ni ya kufundishwa na makocha wadogo wadogo, lakini leo hii yeye ndio kocha mkuu wa Spurs.Pochetino kuja Arsenal ni ngumu. Si unajua utani wa jadi na Spurs
Ila Zaha asingeweza kuja Arsenal na sidhani kama atakuja.Kuna mahali niliona huyu pepe hakuwa hata chaguo LA emery....yeye alimtaka wilfred zaha....akashangaa kapewa comredi kipepe