Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Tuliza ball the blues tuna jambo letu 20/21
Nilichokuwa nataka kumaanisha KWA uingereza cjui km hamkunielewaMkuu wapi uliandika kwa Uingereza?
Sorry, nimevamia huu mjadala wenu, lakini as long as ni open discussion, nadhani sijakosea.
Kwani liver kacheza game ngapi heavyweights na akashinda.....(achana na arsenal kabisa).....Hapana siyo wa kubahatisha, ninachotaka kujua ni kama ameshawahi kucheza games ngapi ambazo ni heavyweight na akashinda.
Nilichokuwa nataka kumaanisha KWA uingereza cjui km hamkunielewa
Kwani liver kacheza game ngapi heavyweights na akashinda.....(achana na arsenal kabisa).....
Ile game ya Chelsea cjui tulifeli wapi maana ilikuwa na bahati sana...Werner alikosa goli kipindi cha kwanza....red card ikatuzingua....kepa na tomori wakawazawadia goli LA pili ....Werner akasababisha penalty tukakosa......Leicester pia KWA kikosi chetu tunamfunga nasubiri hyo game yenu na spurs mnayosema mtashinda........nb tulivyomfunga Leeds goli 3-1 Patrick bamford alisema KWA timu kubwa walizokutana nazo Chelsea ndo walikuwa wagumu si city c liver.....hyo ni dalili toshaVs Chelsea 2 - 0 na Leicester 3 - 0.
Next Wednesday tunaye Tottenham, tutashinda pia.
Ile game ya Chelsea cjui tulifeli wapi maana ilikuwa na bahati sana...Werner alikosa goli kipindi cha kwanza....red card ikatuzingua....kepa na tomori wakawazawadia goli LA pili ....Werner akasababisha penalty tukakosa......Leicester pia KWA kikosi chetu tunamfunga nasubiri hyo game yenu na spurs mnayosema mtashinda........nb tulivyomfunga Leeds goli 3-1 Patrick bamford alisema KWA timu kubwa walizokutana nazo Chelsea ndo walikuwa wagumu si city c liver.....hyo ni dalili tosha
Acha kupoteza brain cells kwa huyu dogo, Yuko hapa kwa ajili ya kubisha na sio kuelewa.Mkuu wapi uliandika kwa Uingereza?
Sorry, nimevamia huu mjadala wenu, lakini as long as ni open discussion, nadhani sijakosea.
Kweli mazee 18 out of 18 it's huge milestone hasa kwa timu inayosuasua kwenye ligi ya ndani inaonesha jinsi gani tuko serious na hii michuano.18 points out of 18 ni mileage, regardless ya nani uko naye kwenye kundi.
Hii inawapa morale wachezaji, kuna wakati hizi game zinabebwa na confidence waliyonayo wachezaji kwenye ligi husika.
Of course hatua zinazofata ni ngumu, maana kuna Man Utd, Tottenham, Leicester, then uje Ajax, Roma, Napoli, AC Milan na Sevilla.
Mashindano yatakuwa magumu hasa kuanzia kwenye best 8.
Sevilla kasonga mbele.Kweli mazee 18 out of 18 it's huge milestone hasa kwa timu inayosuasua kwenye ligi ya ndani inaonesha jinsi gani tuko serious na hii michuano.
Natamani u-serious huu tuendelee nao hivi hivi mpaka hatua za huko mbele mbele, kwani hata wapinzani wenyewe itakuwa inawapa hofu kidogo na hii itakuwa ni advantage kwetu.
Hata Mimi naona best 8 ndio kutakuwepo na mziki mnene.
Halafu Sevilla nafikiri amefuzu kwenda 16 UCL.
Kocha wa Leipzig hutangaza kikosi chake dakika 45 kabla ya mechi anasema hua anafanya hivyo ili kumfanya kila mchezaji awe focused na mazoezi kwa kutarajia kuingizwa kwenye starting XI.Acha kupoteza brain cells kwa huyu dogo, Yuko hapa kwa ajili ya kubisha na sio kuelewa.
Yaani pamoja na kumwekea mfano wa hai wa Marcelo Bielsa hapo bado anakwambia huo sio utaratibu kwa uingereza. Mtu Kama huyu kuendelea ku-exchange words na yeye ni kupoteza brain cells
So michuano ya mwaka huu haiwahusu.Sevilla kasonga mbele.
Inter kashindwa kuja Europa.
Hizi timu zilikutana fainali Europa last season.
Kweli mazee 18 out of 18 it's huge milestone hasa kwa timu inayosuasua kwenye ligi ya ndani inaonesha jinsi gani tuko serious na hii michuano.
Natamani u-serious huu tuendelee nao hivi hivi mpaka hatua za huko mbele mbele, kwani hata wapinzani wenyewe itakuwa inawapa hofu kidogo na hii itakuwa ni advantage kwetu.
Hata Mimi naona best 8 ndio kutakuwepo na mziki mnene.
Halafu Sevilla nafikiri amefuzu kwenda 16 UCL.
Hili suala ni utashi tu wa kocha mwenyeweKocha wa Leipzig hutangaza kikosi chake dakika 45 kabla ya mechi anasema hua anafanya hivyo ili kumfanya kila mchezaji awe focused na mazoezi kwa kutarajia kuingizwa kwenye starting XI.
Baadhi ya timu unajua kabisa first XI lije jua ije mvua labda mchezaji aumie.
Hata mimi naona hivyo ingawa kocha kasema kila kombe atalitolea macho.So michuano ya mwaka huu haiwahusu.
Lakini bhana Mimi naona hii timu yetu hii bora kipaumbele kikuu tukielekezew huku tu, hizo FA na taka taka zingine tuachane nazo sitaki kuitaja PL maana ile hata kabla msimu haujaanza ilikuwa haituhusu.
Baadhi ya potential opponents wa Liverpool ni Barcelona,RB Leipzig na Atletico Madrid.Yes, Sevilla amefuzu.
Nadhani Monday baada ya draw tutapata at least kupata picha Feb itaanzaje mitoano.
Tatizo kocha wetu naye anaishi kwenye fantasy. Muache tu ajikute na yeye ni Pep huku tuna muhesabia siku.Hata mimi naona hivyo ingawa kocha kasema kila kombe atalitolea macho.
Baadhi ya potential opponents wa Liverpool ni Barcelona,RB Leipzig na Atletico Madrid.
Ila majeruhi wenu baadhi watakuwa wamerudi.
Hao wagumu wamepigwa na liver na huyo leeds kapigwa, cha msingi unashindana nae kupata ubingwa hakikisha unamdundaIle game ya Chelsea cjui tulifeli wapi maana ilikuwa na bahati sana...Werner alikosa goli kipindi cha kwanza....red card ikatuzingua....kepa na tomori wakawazawadia goli LA pili ....Werner akasababisha penalty tukakosa......Leicester pia KWA kikosi chetu tunamfunga nasubiri hyo game yenu na spurs mnayosema mtashinda........nb tulivyomfunga Leeds goli 3-1 Patrick bamford alisema KWA timu kubwa walizokutana nazo Chelsea ndo walikuwa wagumu si city c liver.....hyo ni dalili tosha