Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kiukweli naamini Jose atawapatia kitu.

Hii performance ni anaifanya huku akiwa ana maingizo machache so misimu kadhaa mbele atakua anashinda bila kupaki basi na wewe ndiyo utazidi kusema "London is white"
 
Sawa Sawa mzee baba
 
Pole sana wana Arsenal kwa kufiwa na shabiki kindakindaki
nimeshindwa kudanlod picha. Mashibiki wenzangu japo tunakuwa na mapenzi na timu fulani lakini tujitaidi kukontrol hisia zetu kwenye ushabiki.

Huyo shuhuda anasema jamaa alipatwa na hasira baada ya TOT kufunga goli la pili. Tukio limetokea nchi jirani kenya


Pumzika kwa Amani Shabiki wa Asernal

 
Manchester United akifafanya vizuri (akichukua makombe) usisite kurudi tena.

Unachotakiwa kufanya ni kubadili ID tu.
 
Manchester United akifafanya vizuri (akichukua makombe) usisite kurudi tena.

Unachotakiwa kufanya ni kubadili ID tu.
Ukitaka kunielewa nisome baina ya mistari. Vinginevyo ndiyo kama hivyo utaishia kuniona shabiki maandazi tu
. Soma tena unielewe braza. Hoja kwangu siyo kutokuwa na vikombe, hoja ni kutotafuta vikombe. Halafu pia upendo ukiisha umeisha.
 
Nakubali msimamo wako ila ukitaka kuitendea haki comment yangu yakupasa uisome na kuielewa. Usipoielewa ndiyo kama hivyo.
 
Kwa ninavyojua namna mtu anavyojiua akili yake inavyofanya kazi huo umbali wa miguu ungetosha kumfanya ajiokoe kwa kuchuchumalia.

Katika vifo vya kujiua wengi huchagua kujinyonga lakini ndiyo njia ngumu kuipita as waweza tumia zaidi ya dk 5 haujafa ila ni maumivu, kuachia haja zote mbili kwa wakati mmoja na machozi.

That guy angeweza epuka yote hayo kama angeamua kuchuchumalia tu vidole gumba.
 
Manchester United akifafanya vizuri (akichukua makombe) usisite kurudi tena.

Unachotakiwa kufanya ni kubadili ID tu.
Mwenzako katoa siri alikua man u. Na wewe ulikua wapi? Maana unashinda jukwaa la Arsenal kuliko mashabiki wake.
 
Humu katika huu uzi ukipost lazima ujue kuna watu wana akili pia.

Nilijiuliza shabiki kindaki ndaki anawezaje kua na jezi ya zamani?

Recently imekua kawaida kusikia shabiki wa Arsenal kajiua Kenya. Na picha ya ushahidi ni hii hii.

Nimeingia google with few clicks majibu yamekuja. Hiyo ni taarifa ya mwaka 2009 ikiwa imeripotiwa na blog uchwara moja hivi.

Wapuuzi wachache wanashindwa kujizuia kuacha upuuzi.

 
Msimu uliopita mlibahatisha kwa kuwa timu ilikuwa ya kuungaunga ila msimu huu, ngoja kwanza nicheki game na nyie lini niandae mahindi ya kukaanga mapema. Moja baada ya jingine, mjini wanayaita pop kon.
Mkuu kweny mpira hakunaga kubahatisha. Maimu uliopita mimi ndio nilikua mbovu kwa kakikosi kilichojaa makinda lakini bado ukaahindwa kunifungasasa msimu huu nimefanya usajili halafu jinsi tulivyocheza ndio nikagundua Mou ni mweupe na anafungika kirahisi sana.

Soon haya nayoongea yatajidhihirisha
 
Shika adabu yako nyie msioijua Chelsea ndio mnaosemaga ya 2004. Eti unasema kombe la miaka 50 nyuma! Nakupa homework nenda ka google kabla ya mwaka 2000 Chelsea ilikua na makombe gani?

Kheri usiiongelee kabisa kuliko kuwapotosha hawa watoto
 
Fukuza hiyo kenge Arteta fukuzilia mbali.
 
WE ulisikia wapi......Sijawahi kuona hyo kitu labda hapa bongo....kwamba game inachezwa jioni afu official starting eleven inatoka asubuhi....labda ligi za china
So unabisha kwasababu hujawahi kuona au unabisha kwa kutokujua?

Kwanza tunaelewana?
 
Kwenye list ya timu zilizotumia pesa isiijumuishe Tottenham, pale ni exchange, mikopo na sajili za bei za kawaida kabisa
 
Mlimfunga ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…