Pamoja na hayo yote Ila itaichukua hiyo timu yako miaka 200 kutukuta tulipo.Hiyo timu yenu sasa hivi ni historia tu. Ni kama tu zilivyo AC Milan na United. Hizi ni zama mpya na vitabu vipya.
Unajua analipwa mahela mangapi huko China?Paulinho yuko China kweli na Arsenal ikiwa hivi ? Hamjaona kuwa mnamhitaji ?
Unajua analipwa mahela mangapi huko China?Paulinho yuko China kweli na Arsenal ikiwa hivi ? Hamjaona kuwa mnamhitaji ?
Before Arteta took charge at Arsenal's managerial position, we hadn't won any premier league game at Old Trafford for fvcking 14 years, that literally means he never won at OT as a player, but now we all know which opponent and which stadium our last premier league win came from.Arteta is yet to win vs Mourinho...as a player and now a coach.
Nasema uongo ndugu yangu Aaron?
Hawezi kukataa kucheza Arsenal yule hata siku mojaUnajua analipwa mahela mangapi huko China?
Wenyewe mlimshindwa sasa unasakazia wengine!Haya Tot nae anatamba ni mkubwa London.Arsenal malizaneni nae. Maana ugomvi wa watoto mkubwa anakuja kusuluhisha tu.
Amueni wenyewe nani mkubwa kati yenu siyo London maana mtaanza kumkosea heshima kaka yenu
Wewe ulisema subiri game iliyopita hola! sasa unasema tusubiri ijayo. Game iliyopita Tot hawakuwa full kwenye defense, next game nadhani moto utawaka.Ile game hata irudiwe kesho hamuwezi kushinda zaidi nakuja kukubebesha kapu la magoli hapo kwako marudiano. Mou kocha mweupe sana.
Sisi pia hatukua full kwny attackingWewe ulisema subiri game iliyopita hola! sasa unasema tusubiri ijayo. Game iliyopita Tot hawakuwa full kwenye defense, next game nadhani moto utawaka.
Nipo mkuu. Navizia viziaGroup B
Matches 5
Points 15
Kimbembe ni huko mbele tunakoenda, naona eti real Madrid nae anapatamani huku...
Nipo mkuu, za masiku kibao?