Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sawa, but is not true???

Kwamba we have spent the same amount as they did in the last TWO windows??
 
Ibrahimovic kasema ana mataji mengi kuliko Chelsea yeye ndiye anatakiwa kuisajili Chelsea na siyo Chelsea imsajili yeye.
😂😂😂 Hizo ni shobo zake hakuna mtu kutoka Chelsea alijitokeza akasema tunataka kumsajili. Hata ivyo sisi tunasajili wachezaji wanaonukia UEFA yule na kuzunguka kwake club kibao hajawahi nusa klabu bingwa. Sasa anatofauti gani na nyie? 😂😂😂😂😂
 
Sawa, but is not true???

Kwamba we have spent the same amount as they did in the last TWO windows??
Kwamba umemzuia mwanao A asinywe leo soda ila leo mwanao B kanywa soda moja.

Kesho mwanao A anakunywa soda mbili na mwanao B anakunywa soda moja.

Na kauli sahihi hapo ni "Kuanzia jana usiku mpaka leo mwanangu A kanywa soda mbili na mwanangu B kanywa soda mbili"?
 
Wachezaji wanaonukia UEFA? Katika wachezaji 5 mliosajili wangapi wamechukua UEFA?
 
Amejaza kabati ma trophies ya Serie A na League 1 tu
Hana trophy ya Premier league, UEFA Champions league, anajiona mjanja.
 
Wachezaji wanaonukia UEFA? Katika wachezaji 5 mliosajili wangapi wamechukua UEFA?
Ndio maana nikasema wanaonukia siyo waliochukua. Thiago kacheza final mwaka jana, Timo kacheza semi final, Mendy kacheza UEFA na Renais, Kai naye bado mdogo naye ananukia, Hakim unaelewa mwnyw shughuli yake.

Huyo Zlatan wa nini aje kuwanukisha ubeberu kina Odoi?
 
Naona Malang Sarr unamkwepa

Kama ishu ni kufika nusu au fainali kwani Arsenal haijafika?

Na kama ilifika hoja yako ya kwamba tunafanana na Zlatan ni sahihi?

Also Zlatan alifika nusu akiwa na PSG.

Cheki facts zako bro, Chelsea na Zlatan Zlatan ni kingunge subirini awasajili.
 
Malang Sarr ni free agent halafu sasa ivi yupo kwa mkopo anacheza UEFA. Huyo Zlatan amecheza UEFA mara ya mwisho lini? Yan kombe la farmers league ulinganishe na EPL?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…