Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wachambuzi wengi wanamponda Bielsa, wengi wanadai timu anazofundisha hazina mafanikio kivileee.
Anaweza akaanza msimu vizuri ila mwishoni timu ikakata upepo kabisa.
 
Wachambuzi wengi wanamponda Bielsa, wengi wanadai timu anazofundisha hazina mafanikio kivileee.
Anaweza akaanza msimu vizuri ila mwishoni timu ikakata upepo kabisa.
Ni kweli hazina mafanikio sana si kwa sababu zimefundishwa na Bielsa bali ni average teams. Ukiacha za huko America, team alizofundisha Ulaya ni pamoja na Espanyol, Athletic Bilbao, Marseille, Lazio na Lille kabla ya kuja Leeds.

Hizi team zote zina bajeti ndogo sana hivyo zinakuwa na vikosi finyu kuweza kupambana msimu mzima. Kuna injuries na uchovu pia.

Pia mkuu hawa wachambuzi wengi wao ni 'wapiga ngenga' tu, hawajawahi hata kufundisha timu waone changamoto zake.

Garry Neville na ndugu yake Phil Neville walikuwa wanaponda sana makocha hasa Mourinho, walipewa Valencia waifundishe (wote wawili) kilicho wakuta baada ya pale wamekuwa na discipline sana wanapofanya uchambuzi.
 
#Arsenal are in talks with Domenik #Szoboszlai for January. Ready a contract until 2025 + option for another season. #ACMilan are also interested in him. #Salzburg could sell him in January as happened with Haaland (BVB) and Minamino (Liverpool) last year. #transfers #AFC
 
Dominik Szoboszlai - The Breakdown:

20 years old.
Can play LW, CAM or #8
Release Clause: £25M
️ 11 G/A in 12 games this season.
Gives goals & creativity from midfield.
“Arsenal [have been] following Szoboszlai [for] years”

Should he be our No.1 January target?
 
Hehehe kweli kabisa....paul scholes alipewa timu hakumaliza hata mwezi akachomoka.

Umeona leo leeds kalala na vinne, shida nini aisee?
 
Hehehe kweli kabisa....paul scholes alipewa timu hakumaliza hata mwezi akachomoka.

Umeona leo leeds kalala na vinne, shida nini aisee?
Yah nimeona Leeds kafa kwa Palace ila nimecheki tu live score sijaona game kwa hiyo siwezi comment chochote.
 
Pesa hiyo umeweka mfuko gani?
Hicho chuma kinakuja Man united, January.
 
Hahahah ati Willian anajua kupiga Freekick.

Hebu muwe mnasogea darajani mumuone mchawi Hakim Ziyech alivyo na balaa.

Bora hata tuliwaachia huyo Garasa Willian.
 
Hahahah ati Willian anajua kupiga Freekick.

Hebu muwe mnasogea darajani mumuone mchawi Hakim Ziyech alivyo na balaa.

Bora hata tuliwaachia huyo Garasa Willian.
Mimi wakati yupo Emery akamleta Pepe nilisema ni bora angekuja Ziyech. Kwahiyo siyo siri kwamba Ziyech ni kipaji.

Hili garasa Willian kuja Arsenal ni kama garasa Thiago kuja Chelsea. Kichekesho ni kwamba mechi alizocheza Willian kashatoa assissts na goli na hajatoa boko lililopelekea goli.

Ila Thiago kashatoa boko na kashadeclare "No defending vibes only"

Fact nyingine ni kwamba tushachukua points tatu kwa Villa kupitia free kick na mpigaji akiwa Auba. Labda garasa Barkley mlilotema lije kubutua likiwa mbali ila likiwa neutralized sioni tukikwama.
 
Hehehe kweli kabisa....paul scholes alipewa timu hakumaliza hata mwezi akachomoka.

Umeona leo leeds kalala na vinne, shida nini aisee?
Uchovu. Formation anayotumia na anavyotaka mpira wa mpera mpera dakika tisini over time timu inakosa intensity. Tired minds tired legs.

Mwanzo walikua wanashinda na nyavu zao zinaguswa kwakua beki mbovu sasa hivi wana beki mbovu iliyochoka na forward iliyochoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…