OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Asee Rashid Makame hatowaacha salama ..labda tuwape Mendy maana ndo anamjulia vizuri Rashid, huyu Leno mmh hapo kuna goli za wazi za RashidKama tulimfukuza Ozil sababu ya dini kama wengine (wanavyodai ila wengine wanasema hakabi )tujiandae kwa msiba haiwezekani mechi 4 tumefungwa 3 ni laana zinaanza kutuandama kama Ozil huko kwake anasoma dua na Mungu akapokea that's why mechi 4 tumecheza 3 tumepoteza
Kati ya Ozil na Willock nani anatakiwa aachwe kabisa?mhhh(fact iwepo)
Nikimuwaza Rashford na Cavani Mamamae labda twende Sumbawanga tukasaidie kutafuta mababu wabobezi
Hii ni sign mbaya huko tuendako, kuna muda unahisi wachezaji wanahujumu timu isipate matokeo. Yaani hawajitumi kabisa.
Kuna wakati huwa najiuliza Mzee Arsene' Wenger alikuwa anafanyaje timu kushinda mechi nyingi vile huku tukiwa na Foward akina Bendter, Carlos Vella, kiungo kikiwa na Francis Couqline
Kafanyaje ssa kavua kanga wenzake wameweka vya kuwekALacazette
Vipi mkuu mmeshinda ngapi?Mustafi
Ooooh my God
Shida nini, mmeshinda mechi tatu auHuyu shoga Arteta afukuzwe tu, kaomba sajili kapewa leo katika mechi 6 tayari 3 tumefungwa mamaaeee.
DahMnakuja kule page ya Chelsea kujipitisha mbele ya wanaume huku mmevaa kanga moja imelowa maji, jana Leicester amekuchania kanga na kukuchanua mapaja kama ukurasa wa katikati gazeti mwanasport.
Dah, kweli maisha mafupi, leo mnamkumbuka Wenger baada ya WengerOut milioni moja??Hii ni sign mbaya huko tuendako, kuna muda unahisi wachezaji wanahujumu timu isipate matokeo. Yaani hawajitumi kabisa.
Kuna wakati huwa najiuliza Mzee Arsene' Wenger alikuwa anafanyaje timu kushinda mechi nyingi vile huku tukiwa na Foward akina Bendter, Carlos Vella, kiungo kikiwa na Francis Couqline
Mzee hiyo kawaida, kuna moments in life huwa tuna miss hasa inapotokea nyakati ngumu, huwa tunakumbuka the best moments we had in past.Dah, kweli maisha mafupi, leo mnamkumbuka Wenger baada ya WengerOut milioni moja??
Nimeamini unafiki kama ngozi tu.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Umeongea fact Mkuu, ni muhimu kushinda mechi zote za timu za chini na za Kati ili kuweza kuingia top 5&6 kwa ajili ya Europa league.What then? Arsenal wanatakiwa kufanya kila kinachowezekana ili wakusanye points nyingi kutoka kwenye mid na lower table teams ili angalau kupata nafasi ya 5 au 6.
Umeongea fact Mkuu, ni muhimu kushinda mechi zote za timu za chini na za Kati ili kuweza kuingia top 5&6 kwa ajili ya Europa league.
Vinginevyo, tuna safari ndefu ya kujenga timu
Utakosea sana mkuu.Habar ndg zang.Hiv lacazett nkisema hatufai nakosea?
Mkuu,Timu zilizomfunga Arsenal mpaka sasa ni zile zilizomaliza top 5 Premier League.
What does that tell? In my opinion, Arsenal are not ready to compete for big 4 or to compete with Big 4 teams.
What then? Arsenal wanatakiwa kufanya kila kinachowezekana ili wakusanye points nyingi kutoka kwenye mid na lower table teams ili angalau kupata nafasi ya 5 au 6.
Safari bado ni ndefu msimu huu, labda anaweza kubadilika na akatushangaza.
Aaah nipo mbali kabisaTutafigure out. Nipo Dar.
Mkuu,
Wewe unazungumza nini tena?? Sisi tunaongelea ubingwa hapa wewe unatuambia top 5 sijui top 6
Pamoja chief. Ila muda wowote ukiwa tayari mimi nipoAaah nipo mbali kabisa