Kwa taasisi ya FA/ Premier League, MAN UTD ni kipenzi chao na hawapendi kuiona ikiporomoka so wataipa kila sababu, zikiwemo kuwapa penalties nyingi na kuwanyima penalties wapinzani, ili washinde. 😀😀
Nilikomenti humu siku ile kuwa kuna hizi mid-table team kama Westham, Everton, Wolves, Palace na Leicester ukikutana nao performance sio muhimu sana kwa kuwa ni team stubborn sana. Chukua matokeo nenda zako.