Kwanza unaanzaje kumzungumzia mchezaji ambaye sio wetu? [emoji23] Mimi nilishukuru huyo jamaa kutokuja arsenal, mchezaji wa kifaransa anayecheza league one ni wa kuogopa kama ukoma, kamari yake ni ya SGR,Mkuu huyo Aouar wa nini ? 4-4-2 ndio kocha kaanza kuitumia Leo,
Elneny chin , Partey juu na nafasi katengeneza ,kazi kapiga
Partey ni muhimu kuliko Aouar
Thomas Partey’s full debut
102 Touches
90% Pass Completion
100% Tackle Success
100% Dribble success
4 Aerial Duels won
1 Clearance
1 Interception
1 Key Pass
Most tackles won
Most aerial duels won
Fantastic debut.
hahahahahah namkumbuka ila hatufahamiani alikuwa anaandika kwa herufi kubwa kama anatugombeza.Kuna mtu humu anaitwa milangomitatu mnafahamiana?
Mm nakereka sana , watu wana criticise timu ili Partey ionekane usajiri wa ovyo haukuwa na umuhimu ....Kwanza unaanzaje kumzungumzia mchezaji ambaye sio wetu? [emoji23] Mimi nilishukuru huyo jamaa kutokuja arsenal, mchezaji wa kifaransa anayecheza league one ni wa kuogopa kama ukoma, kamari yake ni ya SGR,
Huyu Lacazette hajawahi kuwa ktk kiwango chake tulichokitegemea anacho toka tumsajili,yupo kama Danny Sserunkuma tu alivyokuja simba,
Giroud, chamakh, the same stories ,
Pepe and Saliba wana mtihani mpaka muda huu hatujui kama tumetia sukari ziwa victoria ama nini?
Linapokuja suala la usajili ni bora kusajili mchezaji anayeng'aa championship au san marino kuliko farmer league especially their home grown players ni [emoji706][emoji706][emoji706]
Mifano ni mingi chelsea wanalia na Bakayoko, Manchester city wanalia na mendy, united wanalia na bishoo martial, yule ferlan mendy kule madrid bado anasugua bench kwa kibabu marcelo, na sisi chupuchupu tupigwe kwa Thomas Lemar 90m,sasa hivi tungekuwa tunajisonyasonya kama tunaita paka,
Mara mia ya Emmi Bueńdia, Toddy Cantwelly, Brooks, Benrahma, kuliko huyo aour walikuwa wanataka kutupiga na edu na Arteta wamestukia michezo, Arsenal hii sio ya kupigwa,
Tule mtori, nyama tutazikuta tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nimesoma tu hapo
Mimi ni mchambuzi konkifaya natoka huku kinyamzumbwi nasema hivi, huu ni usajili wa hovyo sana,Owen Hargreaves:
"Thomas Partey had one of the best debuts I've ever seen."
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ni mchambuzi konkifaya natoka huku kinyamzumbwi nasema hivi, huu ni usajili wa hovyo sana,
Partey after partey after partey.....mpaka waombe wasikutane na sisi.Leicester H
Dundalk H
Utd A
Molde H
Villa H
Time for Arteta to release the handbrake.
Jana watoto bado kidogo wange kulambisheni lolo.Mimi ni mchambuzi konkifaya natoka huku kinyamzumbwi nasema hivi, huu ni usajili wa hovyo sana,