Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Stats hizi hapa za 1st half , hata kama tunapenda kulalamika , kweli kwa stats hizi timu inakaa nyuma?Uliyeachia kubana pumbu unazingua.
Kuna member analalamika timu inakaa nyuma.
Sasa mbele itaendaje? Stats zilizoletwa za first half ni stats za mtu anayekaba siye anayeshambulia au kutengeneza nafasi.
I wish I was wrong
Wote tumecheki game. Mpira tumemiliki mtihani ulikua kwenye kupenya.Stats hizi hapa za 1st half , hata kama tunapenda kulalamika , kweli kwa stats hizi timu inakaa nyuma?
Leno Gabriel wanacheza kwenye high linesView attachment 1608962View attachment 1608963
Gabriel kacheza vizuri. Haina shakaGabriel's first 45 minutes vs. Rapid Vienna:
Touches: 73
Completed passes: 56
Pass completion: 94.9%
Duels won: 6/8
Clearances: 5
Possession gained: 5
Interceptions: 3
Hata Partey na Elneny wamecheza vizuri pia.Gabriel kacheza vizuri. Haina shaka
Mkuu huyo Aouar wa nini ? 4-4-2 ndio kocha kaanza kuitumia Leo,Wote tumecheki game. Mpira tumemiliki mtihani ulikua kwenye kupenya.
Nilivyokua nasema tunamhitaji Aouar kuliko Thom ndiyo kama hivyo.
Bado hatupigi shots nje ya 18.
4 4 2 hatuiwezi.
Elneny ni kawaida kucheza vizuri. Wanaompinga washaanza kuelewa.Hata Partey na Elneny wamecheza vizuri pia.
Kuna watu hapa hawajafurahia Performance ya Partey.. Siku akiflop utaskia wanasema sisi tulitaka aje Aouar huyu hawezi kupandisha mipira mbele!.. Yaani mtu ni Arsenal fan lakini ana-criticise timu kuliko hata akina Ollachuga.. Kiufupi timu ipo vizuri na mwamba Arteta atatufikisha tunapotaka. Kwa miaka mingi tulikosa mtu wa kariba ya Partey.Mkuu huyo Aouar wa nini ? 4-4-2 ndio kocha kaanza kuitumia Leo,
Elneny chin , Partey juu na nafasi katengeneza ,kazi kapiga
Partey ni muhimu kuliko Aouar
Thomas Partey’s full debut
102 Touches
90% Pass Completion
100% Tackle Success
100% Dribble success
4 Aerial Duels won
1 Clearance
1 Interception
1 Key Pass
Most tackles won
Most aerial duels won
Fantastic debut.
Kuna mtu humu anaitwa milangomitatu mnafahamiana?yani hii arsenal sijui imekuwaje hadi game kama hii inawaza kudefense tuu
WEwe utakuwa unatania tu.I was saying here, better tungemuuza Leno kuliko Emi
Hapa umesema kweli, huyu lacca ni kama Sarpong tu mchezaji anayeongoza kuchafuka wakati wenzie wanaoongoza magoliLacazette miyeyusho.
Angeweza kutoa assisst akalazimisha kuscore huku hana uwezo wa kumtoka mtu.
Sidhani kama kuna mtu anampingaElneny ni kawaida kucheza vizuri. Wanaompinga washaanza kuelewa.