Hahaha matusi ya nini mkuu? Mambo mengine unayaachia yapite
Arsenal ni timu ambayo recently imekuwa na inequality na political scheme.Mesut Özil’s message to the Arsenal fans.View attachment 1607257
"wherever possible use my voice against inhumanity and for justice".Arsenal ni timu ambayo recently imekuwa na inequality na political scheme.
Yani mtu huchezi alafu pesa inaingia tu kiulaini."wherever possible use my voice against inhumanity and for justice".
Anachotaka kuendelea kufanya kitam cost sana jamaa, angefanya mpira kwanza then baada ya kustaafu soka ndio ajiingize katika issues za activism. Ndio maana hata FIFA ikiona serikali inajiingizà katika soka(chama cha soka cha nchi husika) wanakuwa wakali coz wanajua politics katika soka ni sumu kali.
I feel for the lad, hopefully anakuwa na mwisho mwema na Arsenal.
Hiki kitu nimezungumzia lakini mnachukua point ya activism tu, yes! Mkhitaryan alifanya haya, Shkodrani, Sead na Xhaka wamefanya haya kwa Bosnia, Albania na Kosovo! Why Özil?"wherever possible use my voice against inhumanity and for justice".
Anachotaka kuendelea kufanya kitam cost sana jamaa, angefanya mpira kwanza then baada ya kustaafu soka ndio ajiingize katika issues za activism. Ndio maana hata FIFA ikiona serikali inajiingizà katika soka(chama cha soka cha nchi husika) wanakuwa wakali coz wanajua politics katika soka ni sumu kali.
I feel for the lad, hopefully anakuwa na mwisho mwema na Arsenal.
Kifupi Ataendelea na Siasa ndan ya Soka,"wherever possible use my voice against inhumanity and for justice".
Anachotaka kuendelea kufanya kitam cost sana jamaa, angefanya mpira kwanza then baada ya kustaafu soka ndio ajiingize katika issues za activism. Ndio maana hata FIFA ikiona serikali inajiingizà katika soka(chama cha soka cha nchi husika) wanakuwa wakali coz wanajua politics katika soka ni sumu kali.
I feel for the lad, hopefully anakuwa na mwisho mwema na Arsenal.
Mstari wa mwisho ndio umebeba Sababu kuu za kupigwa chiniMesut Özil’s message to the Arsenal fans.View attachment 1607257
Yani mtu huchezi alafu pesa inaingia tu kiulaini.
Ndo maana club zingine ukishafikisha miaka 30 tu wanakuuza. Huku wakina Saka wanatoka jasho kila wiki wanalipwa 30k huku mwingine analipwa 350k kukaa nyumbani.
Imeniuma sana hii ishu.
Henkrik, Mustafi, Sead, Xhaka hawakuathiri mapato yao?Mstari wa mwisho ndio umebeba Sababu kuu za kupigwa chini
Kwa Ozil kwake ni Kupigania haki na ubinadamu
Kwa Arsenal ni kujihusisha na Siasa ambazo zinaathiri Mapato yao ...
Kuna figures na FIGURES katika jamii mkuu, tunaweza kuongea same thing lakini ukachukiwa kuliko mimi. Image ya Ozil ni kubwa kuliko kina Shkodran na wenzake, usitegeme Ozil kuongea kitu kikachukuliwa lightly, elewa hivyo.Hiki kitu nimezungumzia lakini mnachukua point ya activism tu, yes! Mkhitaryan alifanya haya, Shkodrani, Sead na Xhaka wamefanya haya kwa Bosnia, Albania na Kosovo! Why Özil?
Waliathiri kivipi ndugu, labda unieleweshe ,Henkrik, Mustafi, Sead, Xhaka hawakuathiri mapato yao?
Özil ameathiri kivipi? Maana anachofanya Mesut ni same kilichofanywa na hao!Waliathiri kivipi ndugu, labda unieleweshe ,
Kwakweli maswala ya hao siyajui ndio maana nimeomba unisaidie walifanya nn.Özil ameathiri kivipi? Maana anachofanya Mesut ni same kilichofanywa na hao!
Sawa, ngoja yaishe hapa! Mbele si kuzuri.Kwakweli maswala ya hao siyajui ndio maana nimeomba unisaidie walifanya nn.
Saed , Xhaka, Mustafi sikumbuki na sina record walijihusisha na uanaharakati na kuhiuhusisha Arsenal
Nakumbuka tu Xhaka na Shaqiri Wakiwa timu yao Uswis waliingiza siasa wakaonywa ,
Saed sikumbuki ,Mustafi sikumbuki naomba nisaidie
Ozil situation yake inaonesha ni kubwa., na yakitofauti ,maana Hata Kwenda kucheza Saudia kakataa sababu tu ya Kuwa ni Ana mlengo wa Siasa kutoka Uturuki
Tunaelekezana tu ,Sawa, ngoja yaishe hapa! Mbele si kuzuri.
Ingekuwa kwa akina Gilberto Rodriguez, Escobar, Carillo,Alberto, Miguel na Tata, Huyu mtu angepigwa risasiYani mtu huchezi alafu pesa inaingia tu kiulaini.
Ndo maana club zingine ukishafikisha miaka 30 tu wanakuuza. Huku wakina Saka wanatoka jasho kila wiki wanalipwa 30k huku mwingine analipwa 350k kukaa nyumbani.
Imeniuma sana hii ishu.