Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
IG nzima fans wa liva wanalalamika virgil kua nje.
Klopp akasema liva na mashabiki watamsubiri kama mke mwema anavyomsubiri mumewe.
Now ndiyo tutajua squad depth ya liva inafika mpaka wapi.
Kocha wao alikua tayari kumchezesha Becker akiwa na majeraha mradi Arsenal asishinde.Patamu hapo , Gomez na Matip spana ,
Ngoja tuje tushuhidie Siku moja Beki za kati Hendo na Fabinho
Hivyo unamaanisha liva haina mpango wa kutetea ubingwa?Injuries ni part and parcel ya sports mkuu, binafsi naamini matokeo tutakayoyapata msimu huu ndiyo tunayostahili.
Tungekuwa na malengo ya kutetea ubingwa tungefanya reasonable transfers, backup ya CB ilikuwa ni first priority kipindi cha usajili.
Hahaha mpe pole alijiona shehe Yahaya
Anyway, hata hivyo sioni kama mna chansi ya kutoboa. Ripoti zinasema ataanza Tuanzebe na Lindelof sijawahi kuiona hii partnership ikicheza ila naamini haijazoeana.
Langoni De Gea, mbovu mipira ya mbali. Neymar na Mbape ni experts wa dead balls, Di Maria ni mzuri wa kucut in na kushoot.
Advantage ambayo man u mnaenda nayo ni morali kutokana na ushindi dhidi ya New Castle na wachezaji 7 majeruhi wa psg ambao hawawezi kuanza leo.
Kilichobaki ni maajabu ya mpira tuyasubiri. Ila mnakufa.
Hivi unapata ushujaa gani wa kuja huku siku ya leo?
Ikifika hiyo saa 4 meza paracetamol kisha lala, usijisumbue kuangalia maumivu ya leo..
Maana hakuna namna wale jamaa (Neymar, Mbappé, Di Maria) wanaweza kukuacha bila ya chuma 5 leo!
Wakipona sana 4-0
Yote ni kuihofia ArsenalKocha wao alikua tayari kumchezesha Becker akiwa na majeraha mradi Arsenal asishinde.
Naona shimo lao limezidi kua kubwa.
Nakuambia kwa mara ya pili, utarudi huku huku kwa alhamisi.Hayo mambo ya wanaume wewe mvulana umeyajulia wapi?
Ngoja Alhamisi ujadili na wavulana wenzio kina MKDONS.
Mkishinda siingii jf mwezi mzima.Wazee wa Alhamisi, munaendeleaje humu ndani?
Karibuni Paris muje mushuudie kabumbu kali kutoka kwa vijana wa Sorkjer, leo wana jambo lao.
Hakuna asie jua kua PSG ni tawi letu, yani kama tume muumba vile, tuna mfanya tunacho taka.
Natabili leo Manchester United tunatoka na point zetu tatu, kwa kuwakong'ota bao 2 bila.
Ukibisha sikushikii panga.
Kwahiyo sitegemei kukutana na wewe UCL labda tukutane njiani.Nakuambia kwa mara ya pili, utarudi huku huku kwa alhamisi.
Muda utasema!
Mkishinda siingii jf mwezi mzima.
Najipiga ban..
Halafu nayahifadhi maneno yako, nitarudi game ikiisha.
Una niomba au unani lazimisha?
We cheza na vibonde wenzio.
Muna misimu 8 mbele muchukue EPL Kwahiyo sitegemei kukutana na wewe UCL labda tukutane njiani.
Mbona unapata wasiwasi wewe?Dull Jr njoo umuone ndugu yako anameza sumu huku.
Mkuu ban lazima ikuhusu labda kama una id nyingine.
Obviously.Yote ni kuihofia Arsenal
Isitoshe na mwenzake City nae juzi akaamua amdunge sindano Kun Agüero ili acheze na sisi.
Kumbe wanatishika eeh?
Rapid Wien.Tuwepo mpaka mwisho wa show.
Alhamisi munacheza na kibonde gani?
Hivyo unamaanisha liva haina mpango wa kutetea ubingwa?
Kuna siku klopp alisema hivi?
Marekebisho wapiHiko kikosi bila xhaka ni maumivu matupu.
So unachukuliaje alivyomchezesha becker huku ni majeruhi? Alizitaka points za ligi za kazi gani kama plan wasn't to race for the title?Swala siyo Klopp kusema, isipokuwa ni kusema na kutenda kwa pamoja.
Team imepata mafanikio ndani ya miaka mitatu (kifedha), ila imeamua kuamini kwamba wachezaji hawachoki. Wataendelea kucheza vile vile.