Mbona taarifa zinasema jamaa hatoruhusiwa?Kieran Tierney expected to play for Arsenal against Manchester City | @SamJDean reports
Kieran Tierney expected to play for Arsenal against Manchester City
Hiyo ya kutoruhusiwa ni ya Jana , had sasa anaruhusiwa kucheza ,Arsenal walipambana achezeMbona taarifa zinasema jamaa hatoruhusiwa?
Wasifosi mambo bhana! Tunao mabeki wengi. Nafasi yake atacheza Holding.
Wazee wa ku zooomWenger kama namuona kwa mbali upande wa Arteta amesimama..
Wenger kama namuona kwa mbali upande wa Arteta amesimama..
Mbona Henry alimrudisha?Ornstein: Kwanini haukumrudisha Cesc aliposema anataka kurudi Arsenal?
Wenger: Muongozo wangu mkuu ulikua ni kuwafanya wachezaji watambue ukiondoka hapa hamna kurudi tena.
Mwandishi hakuuliza hilo swali. Mi nilifikiria piaMbona Henry alimrudisha?
I think Henry kwa Arsenal ni special issueMbona Henry alimrudisha?
Alisema kwa wachezaj wakubwa Kama Henry na wengine aliweza kuwaruhusu waondoke kulingana na ofa na falsafa ya club kwa muda ule kuwakuza vijana wadogo lakin kwa vijana wadogo hakufurahiswa na kuondoka kwao akawaweka wazi ukiondoka huwez kurudiMwandishi hakuuliza hilo swali. Mi nilifikiria pia
Kwenye swala la transition from defending to attacking holding hamkuti tinnery hata robo...we need him by any meansMbona taarifa zinasema jamaa hatoruhusiwa?
Wasifosi mambo bhana! Tunao mabeki wengi. Nafasi yake atacheza Holding.
Kwenye football lolote linaweza kutokea mkuu maana nje ya mbinu pia huwa kuna bahati ndo huwezi kukuta mtu katabili ushindi kwa 100%Mukijitahidi kushinda leo, sana sana mutashinda na njaa.
GGMU
Timu kupambania ubingwa? Mbona Arsenal tupo kwenye transition na ubingwa ni misimu 3 mbele? Mi nilisema trophies za kuzitarajia ni zile za tournament siyo za ligiMechi ya leo ni muhimu sana kwa arsenal kwa sababu ni mchezo ambao utatoa mwelekeo wa timu katika kupambania ubingwa au nafasi za kushiriki michuano ya Uefa.
Hii mechi itaonyesha ni eneo lipi arsenal itahitaji kulifanyia maboresho, tena kwa kuwa timu anayokutana nayo ni bora zaidi yao na ukizingatia ipo uwanja wa nyumbani.
Kwahiyo kwa maoni yangu letu tusitarajie tu ushindi kwa arsenal ila tuangalie improvement ya timu kwa ujumla
Unaionaje new castle?Mukijitahidi kushinda leo, sana sana mutashinda na njaa.
GGMU
Siwezi sema tuko kwenye kipindi cha mpito wakati kulingana na soko la soka kwa tunao classic players kwahiyo ni suala la ku-cop tu kisha wanafanya vizuriTimu kupambania ubingwa? Mbona Arsenal tupo kwenye transition na ubingwa ni misimu 3 mbele? Mi nilisema trophies za kuzitarajia ni zile za tournament siyo za ligi
Wachezaji tulionao siyo wabaya ila hawaturuhusu kufight kwa ajili ya ligi na mashindano mengine.Siwezi sema tuko kwenye kipindi cha mpito wakati kulingana na soko la soka kwa tunao classic players kwahiyo ni suala la ku-cop tu kisha wanafanya vizuri
Mkuu timu yetu ipo vizuri tena sana na ninaamini tunachua point 3.Wachezaji tulionao siyo wabaya ila hawaturuhusu kufight kwa ajili ya ligi na mashindano mengine.
Ndiyo maana niliwahi kusema humu kwamba tuna chance nzuri ya kuchukua Europa, FA au Carabao kuliko hata Ligi.
Nikasema pia. Tutajiweka kwenye nafasi nzuri katika ligi kama tutakua tunapiga timu ndogo na hizi kubwa tunapaki basi. Lakini uliona ushindi wetu ulivyokua mgumu kwa Sheffield? Na goli lao moja lilivyopatikana? Clearly squad yetu bado inahitaji muda.