Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Pamoja na upana wa kikosi chao, bado sijaona mtu wa kuyafanya anayoyafanya De Bruyne akiwa uwanjani.. Kama kuna yeyote unaemfikiria mtaje.

KDB ni mmoja kati ya wachezaji waliotengeneza chance nyingi za mabao tangu msimu wa 2019/20.

Hakuna namna ya kutojivunia kutokuwepo kwake, tayari game imekuwa nyepesi zaidi ukilinganisha na mentality iliyopo mwanzo.

Unaweza kukataa lakini ukweli ndio huo.
 
What is Arteta doing differently to Pep? And why?

[emoji123] More physical DM
[emoji2924] Pragmatic defending
[emoji460]️ More possession in own third
[emoji3447] Strict adherence to playing out from back
[emoji352] Delaying implementing 4-3-3

[emoji3167][emoji739][emoji2578]

For @TheAthleticUK.

How is Arteta different to Guardiola?
 
Kuhusu kutengeneza chances ni kweli.

Point yangu ni kwamba timu yetu ifikie level ya kwamba ushindi uwepo haijalishi mtengeneza chances nyingi yupo au hayupo.

So kesho kevin akiwepo timu yetu ikifungwa utaona ni halali kisa kevin yupo?
 
Mzee wa kumwekua mwekua Kitoabu em tupumzishe kidogo[emoji23] na arsenal yetu,

Vipi Mozambique salama lakn?,Maana nasikia Kuna majanga.
Poa tambeni na timu yenu, lkn mujue simba hata awe mzee vipi huwezi mchezea sharubu.

Kweli kwa sasa chama langu lina mbwela mbwela, lkn sio mpaka shabiki wa Arsenal8 anitambie.

Ubanguni (mocambique) majanga hayaishi, yatakiwa uwe na roho ya chuma kuhimili utafutaji wake.

Akina Aly mbambe wana kinukisha mitaa ya macumia, wilaya ya tatu kutoka niliko.
Kiufupi tunawangoja tu, sijui kama watafika ama vipi.
 
Arteta on Xabi Alonso:

"Since we were 7 or 8 years old we've known each other. We played together from a club that was in our region in San Sebastian, then we were neighbours when he was playing for Liverpool and I was at Everton."
 
Unajua kama jibu ni hapana.

Hivi unajua hata angeumia Auba kama ilivyo kwa De Bruyne mashabiki wa timu nyengine wangeshukuru, unalijua hilo?
Uko sahihi. Ninachosema plan isijali nani yupo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…