Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hilo liko wazi, ndio maana nikasema ozil yuko sahihi, lakini arsenal wapo kimaslahi zaidi, katika hii dunia ya kibepari vitu vinaendeshwa, kinachonyanyuka ujue kimenyanyuliwa.
 
Edu:

“Siku moja ningependa kuwaonyesha mashabiki jinsi tunavyofanya kazi, au jinsi tulifanya kazi kwa sababu ikiwa ungeona mpango wangu miezi sita au saba iliyopita wakati nikifanya na Mikel Arteta. Thomas alikuwepo tayari.

Kwa hivyo unaona ni miezi ngapi tulilazimika kujaribu kupata mchezaji anayefaa kwa klabu"
 
Alafu kuna mtu anatoka tu nowhere anauita usajili wa kifala, dah
 
Siku moja nyuma ukatubishia kwamba swala la Ozil siyo la kisiasa. Ukasema ni bonus anazotakiwa kulipwa.

Unajisikiaje kuiripot hii taarifa?
 
Kulikuwa na Taarifa Waislamu kule China Wanateswa , Ozil akalivalia njuga

Wachina wakaanza kumpiga ban , gafla Adidas wakaacha kumuongezea mkataba ,n.k

Mambo yamekuwa secret sana, naiman kuna siku Ozil atafunguka

Mwaka jana October, Daryl Morey ambaye ni GM wa timu ya NBA
Houston Rockets alitweet "FIGHT FOR FREEDOM STAND WITH HONGKONG".

Hiyo tweet ilileta msala balaa, wachina wakataka jamaa apigwe chini, bosi wa NBA akasema ni maoni yake na ana uhuru wa maoni.

Wachina wakaamua kusitisha mahusiano yote na NBA, na ni kosa kisheria kuonesha game za Houston Rockets, ukikutwa unafungwa. Kuna billions kibao jamaa wamapoteza kwa tweet hiyo.

Kwa hiyo inabidi uwe vizuri hasa kuwavimbia wachina, maana inaonekana kuna income kubwa sana kule inapatikana kwenye sports.
 
Aisee kumbe , Nimeongeza kitu ,Asante sana
 
Siku moja nyuma ukatubishia kwamba swala la Ozil siyo la kisiasa. Ukasema ni bonus anazotakiwa kulipwa.

Unajisikiaje kuiripot hii taarifa?
Dah ndugu yangu unaweza kuleta hiyo comment ?

Niliweka sababu kama 4 had 5 ,hiyo comment ya juz ,nikasema huenda ni bonus. ,Au hili swala la China , pia mifumo ya kocha ...

Nilimbishia nani ,screenshot kisha leta hapa ....
 
Edu:

Ukimuona Gabriel, anatupa physicality and Precense(uwepo). Dani anakupa Quality(ubora.) Thomas, mwili, ubora na akili ana nguvu sana.

Lakini mwishowe ukiona wachezaji hawa wote tuliowaleta kwenye klabu, wapo vizuri"
 
#AFC | Edu on the club potentially using loan deals and doing more business before the Championship deadline shuts on October 16th:

"We not stop, we not stop. Of course we are open, I'm only going to say this, we never stop."
 
Dah ndugu yangu unaweza kuleta hiyo comment ?

Niliweka sababu kama 4 had 5 ,hiyo comment ya juz ,nikasema huenda ni bonus. ,Au hili swala la China , pia mifumo ya kocha ...

Nilimbishia nani ,screenshot kisha leta hapa ....
Sawa. Labda neno "Haihusiani na wachina.." Umelisahau
 

Attachments

  • Screenshot_20201008-160140.jpg
    60 KB · Views: 5
Sawa. Labda neno "Haihusiani na wachina.." Umelisahau
Sijambishia Mtu, na kuhusu China linasemwa sana , nikatafiti nikaleta comment nyingine chini

Maana swala la China limekuja emery ameshasepa ,ndio maana kwenye sababu zangu nimeweka na la mfumo linahusika
 
Sawa. Labda neno "Haihusiani na wachina.." Umelisahau
Mbona hujasoma nilichoandika chini au hukunikanusha kama nilimbishia yeyeto,? Nilitoa maoni , kuwa swala la wachina limekuja baada ya Emery, na kwa emery alikuwa hachezi

Nikafanya utafiti nikaleta hii comment chini siku hiyo hiyo ....nikasema hili la wachina huenda ni sababu pia kubwa ambayo imesababisha hata Sub hawekwi ,hata Carabao hatakiwi kuwepo
 
Arsenal wapo mbioni tena kuzungumza na Ozil kuona namna bora ya kukatisha mkataba wake wenye malipo ya £350,000 lakin inaonekana Arsenal itapata ugumu kwakuwa Ozil anataka alipwe £13M zilizobaki kama malipo ya mshahara wake kwa kipind kilicho baki kwenye mkataba wake.


So hapo Arsenal ni kama wanamwomba Ozil akubali kuvunja mkataba lakin sio kwa kiwango chote cha pesa kilichobaki kwenye mkataba wake.
 
Kwa Emery kacheza ila hakua regular. Huku kwingine hajacheza kabisa. So watu tulivyosema juu ya Uighur ukasema hizo story zinatengenezwa.

Hivi bro Willock anacheza namba ya Ozil na Ozil yupo fit na hoja yako ni mshahara au formation?
 
Kwa Emery kacheza ila hakua regular. Huku kwingine hajacheza kabisa. So watu tulivyosema juu ya Uighur ukasema hizo story zinatengenezwa.

Hivi bro Willock anacheza namba ya Ozil na Ozil yupo fit na hoja yako ni mshahara au formation?
Hakuna sehemu nilikukatalia , soma comment yangu hii chini baada ya kufanyia utafiti

Ozil anacheza Traditional no.10 tu, Willock sio regular starter na anacheza nafasi zaidi ya 1 , pamoja na Ujinga wake ,nimeshuhidia Arteta akimtumia kama LWB ,CM, LW,AM ,False no.9 nadhan had RW ,





Naomba niishie hapa
 
Anasema wakati Arteta anawasili klabuni kama kocha walikaa wakaset plan yao kwa siku zijazo hapa anazungumzia miez 7 iliyopita.

Lakin iliwabidi wawasilishe plan yao kwa Board na wamiliki lakini anasema hakuwa na kujiamini ikiwa plan Yao ingeungwa mkono na Board na wamiliki.

Anasema moja ya yaliyokuwa kwenye plan yao ilikuwa lazima Partey aje Arsenal.

Lakin Board na wamiliki walivyoipitia plan yao wakawaunga mkono na hapo mambo yakaanza kwa vitendo..vikao vya kuongea na wawakilishi wa Partey vikawa vingi .

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…