Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Ila belle sasa hivi sio siri amekuwa mtu, amerudi huyu jamaaJamaa kafanya clearance nyingi ila Bellerin alistahili
Sipend tumrudie , Ametudisapoint mashabiki had UongozAouar tutamrudia January kwa bei chee
Naona dili la partey lipo 99.9% kukamilika,
Aulas atakuja kumuuza auoar kwa bei mbovu Kama Monaco walivyofanya kwa Thomas lema.
Guendouz kaondoka kwa mkopoTupe updates za gunduz, mustaf na socratis...wameenda au
Kwa Emery tungechukia wachezaji wote, ni Auba, Leno na Saka tu ndio walifanikiwa kumaintain viwango vyao.Ila belle sasa hivi sio siri amekuwa mtu, amerudi huyu jamaa
Kwa maoni yangu nadhani hiyo ni weakness yetu, kabla hatujanunua mchezaji rumours msimu mzima hata wale wasio kuwa na mpango naye wanaanza kupanga fitna.Sipend tumrudie , Ametudisapoint mashabiki had Uongoz
Yule thaman yake ni €40m sio €60m
Ila kwakuwa anaamini msimu ujao ataenda Madrid akatukazia ,Angeonesha kukaza kutaka kuondoka Aulas angechukua hiyo €40m
Usiwe na shaka, Leno amebaki kwa hiyo golini bado kuko vizuri tu.Pale kwa Martinez tumepigwa waziwazi
Sijali lakini...mbona pesa ndefu sana na hatuna Champions League? Namsubiri nimuone Arsenal.com kwanza.
Martinez ni bonge la kipa mkuu ..huyu Leno siyo wa kumuamini sana. Pale tukubali tumepigwa waziwazi. Siyo kipa wa pound Mil 10.Usiwe na shaka, Leno amebaki kwa hiyo golini bado kuko vizuri tu.
Martinez ni bonge la kipa mkuu ..huyu Leno siyo wa kumuamini sana. Pale tukubali tumepigwa waziwazi. Siyo kipa wa pound Mil 10.Usiwe na shaka, Leno amebaki kwa hiyo golini bado kuko vizuri tu.
Tumeuza £20m yuleMartinez ni bonge la kipa mkuu ..huyu Leno siyo wa kumuamini sana. Pale tukubali tumepigwa waziwazi. Siyo kipa wa pound Mil 10.
Kivipi mkuu wakati cash iliyotolewa ni £10m?Tumeuza £20m yule