Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
#afc Arteta promises fans club are doing all they can to bolster squad. Still want a new central midfielder.
Arteta: Arsenal doing all they can to finalise late transfers
With Torreira & Guendouzi both leaving, surely we have to bring in a midfielder tomorrow.90% siasa bro. Hata kama anajua hakuna kitakachofanikiwa hawezi kuwaambia mashabiki kuwa hatutaleta mtu. Ndiyo maana alikuwa anasema tunajitahidi kadri tuwezavyo iwe ni kutoa wachezaji kwenda timu nyingine ama kuleta mtu...
Ni lazima tuongeze viungo. Ila tutafanya hivyo? Hivi vitu siyo viuri kuvifanya dakika za majeruhi maana wakigoma kutuuzia tunabaki wadhaifu. Au tutalipa hela ya Thomas? Tuone lakiniWith Torreira & Guendouzi both leaving, surely we have to bring in a midfielder tomorrow.
Sasa Man Utd, Chelsea na Man City watakuwa wameenda jukwaa la Liverpool. Nasikia kule pia kuna bonge la party.Kuna mwizi amekamatwa anapewa kipigo
Tunaona kwa wenzetu leo vipigo vya 6 and 7 sio vya kawaida ,Team pinzani zina hasira kuna siku na sisi tutakuja kushangazwa kwa viungo hawa next match Vs Kipara (Ni lazima tuongeze viungo. Ila tutafanya hivyo? Hivi vitu siyo viuri kuvifanya dakika za majeruhi maana wakigoma kutuuzia tunabaki wadhaifu. Au tutalipa hela ya Thomas? Tuone lakini
Umepotea maboya broNataka sare kwa sababu sitaki wapate points nyingi hawa. Sioni uwezekano wa Villa kumpiga Liverpool ila akijitahidi kutoa sare atatusaidia Liverpool atatuacha point 1 badala ya 3. Alafu akija kupambana na Everton naona ni sare tena so wote wasikimbie kwa kasi sana.
Party after partySasa Man Utd, Chelsea na Man City watakuwa wameenda jukwaa la Liverpool. Nasikia kule pia kuna bonge la party.
Hii international break imekuja wakati mbaya maana momentum iko kwetu baada ya kumtoa Liverpool Carabao na kushinda leo. Huyu Citeh ingefaa tumpate hata kesho asubuhi tumcharaze kabla hajajipanga vizuri π π π ila break imekuwa pona yake.Tunaona kwa wenzetu leo vipigo vya 6 and 7 sio vya kawaida ,Team pinzani zina hasira kuna siku na sisi tutakuja kushangazwa kwa viungo hawa next match Vs Kipara ()alishapigwa 5 last weekatatafuta wa kufa nae
Mpaka sasa sielewi nini kinaendela. Ni movie ya kutisha.Umepotea maboya bro
Tatizo hilo kubwa hakutakiwa apumzike but for now atakuja upyaHii international break imekuja wakati mbaya maana momentum iko kwetu baada ya kumtoa Liverpool Carabao na kushinda leo. Huyu Citeh ingefaa tumpate hata kesho asubuhi tumcharaze kabla hajajipanga vizuri π π π ila break imekuwa pona yake.
Kila la kheri.
Naona umemuonea wivu mwenzio kufa 6