Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa tunataka sare za bila kufungana kwa mechi zote zinazofuata leo. Ili mradi tu mechi zisiboe.
 
McGoldrick amemjulia Leno kuwa upande wake wa kulia ndiyo dhaifu kuruka
Mkuu umecheza playstation? Yoyote ile iwe 2 au 3 au 4? Unaona kile alichofanya McGoldrick? Kinaitwa Box+R2 tamka boxaratwo. Kipa hadaki unless umchezeshe kwa kumpeleka katika hiyo angle before shot haijapigwa.

Kwahiyo unavyoona Auba anascore kile kieneo ndo hiyo box+R2 ambayo haikabiki.

Ni kuu-curve mpira.

Neuer kashapigwa na Odoi goli kama hilo, yaani kipa yeyote hadaki.
 
Kipindi cha Wenger muda huu roho mkononi, Ila Arteta ametengeneza defence nzuri so far.
Kipindi cha Emery labda. Wenger mechi kama hii akikutawala kiasi hiki ni 4-0. Tulizembea baada ya kuongoza na pasi za nyuma nyingi. Umiliki wa mpira ulikuwa muhimu zaidi ya ubunifu na kutafuta magoli mengine. Hili suala halikunifurahisha. Hizi ni mechi za kuua kabisa na kujiongezea GD. Pep na misifa yake angempiga huyu 6-o au hata 7-0. Ila tuchukue tu ushindi. Everton and GD ya 7, ingawa namuona kama katangulia tu ila hatofika mbali
 
Sasa tunataka sare za bila kufungana kwa mechi zote zinazofuata leo. Ili mradi tu mechi zisiboe.
EPL mechi ya nne timu tatu tu ambazo hazijafungwa ie Everton, Liver na Villa.

Leo Villa anakutana na Liver unless iwe draw kama wishes zako zitabaki timu mbili tu ambazo hazijapoteza.

Nadhani msimu huu Liver pia hatafika mechi 15 kabla hajatobolewa.
 
Ingekuwa kushoto kwake anayo ile. Jamaa anaspring nzuri sana kuelekea kushoto. Ila yote sawa, tumekosa clean sheet lakini tumepata 3 points na tuna kazi ya kujiboresha zaidi. Playstation nacheza ila sina skills kabisa yaani. Huwa nipo tu kusindikiza wana.
 
Ila twende mbele turudi nyuma, huyu Bellerin ukiacha assist alizotoa leo sioni kama ni mchezaji wa aina ya Arsenal kwa sasa.

Amekuwa flop sana siku hizi, ile pace imepungua kabisa.. Amekuwa ni mtu wa kubahatisha.

Yani kwa kifupi anapokuwa na mpira mimi huwa na mashaka sana!
 
We must work with what we have, hii ndio timu yetu na lazima tukubali kuwa KROENKE ndio tatizo, hatoi pesa na ni mbahili. Way forward? Tufanye kazi kwa resources zilizopo!
 
Nataka sare kwa sababu sitaki wapate points nyingi hawa. Sioni uwezekano wa Villa kumpiga Liverpool ila akijitahidi kutoa sare atatusaidia Liverpool atatuacha point 1 badala ya 3. Alafu akija kupambana na Everton naona ni sare tena so wote wasikimbie kwa kasi sana.
 
Yah sare ni good results kwetu, sio lazima afe leo.
 
Baba tena playstation 3 Fifa hizo boxR2 hata apige beki ni goli. Haijalishi upande gani
 
Arteta says he's confident that "we know exactly what we want to do and we're trying our best to finalise the deals we want"
 
Arteta mm nilijitolea kukuamini 100%


Arteta: "Believe me, believe me. The ownership, the board, Edu and myself are doing everything we can. I have 100 per cent backing from them. It is not just words, it is reality."
 

Nicholas Pepe's placed effort saw Arsenal double their lead at the Emirates and see out a 2-1 victory against Sheffield United


The Ivorian was mobbed by his team-mates after his goal and immediate impact in the fixture


Pepe had only entered the action moments earlier, and was given a thorough
set of instructions by Mikel Arteta


David McGoldrick scored a late consolation with a sublime curled effort, but it wasn't enough to spur his side into an equaliser


Youngster Bukayo Saka had opened the scoring with a deft, placed header following a slick passage of play


Captain Pierre-Emerick Aubameyang had gone close after cutting inside
and curling one of his trademark attempts



The striker was left ruing the missed opportunity after thinking he had given
the Gunners first blood in the contest


In the early stages David Luiz was lucky to remain on the field after
appearing to pull back Oliver Burke as the last man



A memorial to Metropolitian Police Sergeant Matt Ratana was placed inside the Emirates stadium
before kick-off



Coronavirus warnings seen in place inside the Emirates tunnel, warning players and staff
to maintain social distancing



Sky Sports microphones were seen covered at pitch-side due to the poor weather conditions in north London
 
Atletico Madrid will allow Thomas Lemar out on loan for the season. Arsenal were admirers three years ago before he headed to Atletico and will be allowed out. He has held talks with one Premier League club and will be subject to bids on deadline day. [@mcgrathmike]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…